Hata kutokee nini, sirudi kuweka makazi yangu Tanzania

Good luck, mwandiko kama mwajuma ndala mbovu wa tabata,
 
Tafuta bwana uolewe hukohuko limbukeni weye!
 
Kwani kuna mtu amekulazimisha au kukuhitaji? Kaa kwa wazungu wakutumie mbele na nyuma watakavyo. Unaweza kukuta unaishi huko ulaya kwa kutegemea social assistance. Badala ya kutafuta namna ya kutatua tatizo nawe ni sehemu ya tatizo. Shame on you.
 
Wee endelea kupambana kwa ajili ya wajukuu zko πŸ˜‚
 
Kabla ya mimi kufanyia nini Tanzania kwan hyo Tanzania imenifanyia mimi nini πŸ‘€ Hakna chochote ilichonifanyia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…