jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,540
- 25,834
- Thread starter
- #101
Magonjwa Mtambuka atakuwa ameelewa kidogo sasa bila shaka. Ni tabu kama una uelewa wako, halafu ulazimike kutetea vitu visivyoeleweka, lazima ataonekana hamnazo.Mkuu mkumjibu magonjwa mtambuka nadhani utakesha.
Swali la kumuuliza Trump naye vita anavyosema ni vya kupigana na mabeberu? Maana kwa kauli ya mkuu vita yetu ni dhidi ya mabeberu na waliotuletea COVID 19.
Sent using Jamii Forums mobile app