Kwani wewe unajiona huna akili za kipumbavu sio?Basi wewe una akili za kipumbavu kabisa.
Pia ni ubaguzi Hali sisi waafrika ubaguzi wetu dhidi ya weupe huwa hatuuoni tuna sawa tu kuwaita watu mabeberu,magaba hori,kaburu sisi tukibaguliwa povu Kama loteHili suala la kuita wazungu mabeberu huwa linanikera utafikiri sisi watanzania ni mambuzi Jike...Ina maana sisi ni vimada wao? futeni hili jina acheni upuuzi
Duh! Hii ni mpya na kali kabisa! Wameshafahamu sababu? Au ni kuwalipizia wachina kwasababu ya corona kuanzia Wuhan?
Hizi kauli za viongozi hovyo kabisa.Kiongozi asiyejua maana ya maneno, na wala asiyepima uzito wa maneno anayotumia katika hadhara yoyote ile, mradi avute hisia za watu.
Kiongozi asiyejua kujenga hoja kuzungumzia hoja yoyote ili watu waelewe uzito wa jambo analotaka watu hao walione kuwa ni la mhimu.
Kiongozi anatumia maneno hata yasiyostahiri ili apate kuungwa mkono kwa yale anayoyaona yeye kuwa ni mambo mhimu.
Haya mambo ya kutangaza vita kwa kila jambo linalotokea, na wakati huo huo huelezi huyo unayepigana naye vita bayana watu wamjue, na sababu hasa kwa nini huyu ni adui yako(wetu), na bado ukategemea watu waunge mkono mapambano hayo ya vita uliyoitangaza....
Na kama kati ya watu hao unaowatangazia vita ambayo hukuieleza wakaielewa ili wakuunge mkono, wakiona kiongozi unapotoka, nao wanakuwa wasaliti na moja kwa moja unawatangaza maadui...; na kuanza kushughuli....kiwa kwa vile wapo karibu na wanafikiwa kirahisi....
Kwanza ilitangazwa vita ya kiuchumi, je tulishaipigana na kuishinda hiyo vita? Ilikwisha? Mabeberu walisalimu amri? Tumeweka mikakati ipi kuonyesha kwamba adui wa uchumi wetu harudi tena na kutaka kutuanzishia vita tena?
Wananchi wanajua vita hii ilipiganwa, na tukaishinda na sasa tupo kwenye vita nyingine, au ni mwendelezo wa vita ile ile ya mwanzo,...vita ya kiuchumi?
Na kwa nini hawa mabeberu wanatuandama sana sisi, hasa wakati wa utawala huu? Maadui wapo kile sehemu hata kiasi cha kujaribu kuua raia wetu kwa kuingiza barakoa zenye sumu?????
Raia kule kijijini anasikia hii habari kutoka kinywani mwa rais mwenyewe, ataelewa nini?
Hata mashirika, kama WHO nao wamekuwa washirika wa kutaka kutumaliza sisi waTanzania? Tumewakosea kitu gani?
Hivi nguvu za hawa mabeberu tunazosikia wanazo nguvu kubwa, wakitaka kumwondoa kiongozi yeyote sehemu yoyote duniani kama walivyofanya kwa Gadafi au Sadam Hussein, huku kwetu inawabidi wahangaike na yote haya ya kututegeshea coronavirus kwenye barakoa au kutuletea vipimo vibovu ndio waishinde hii vita tunayowatangazia?
Swali la msingi linalohitaji jibu ni kwa nini kila mara tunatangaza vita? Na hatuelezi kinagaubaga, adui yetu hasa ni nani ili wananchi wajue? Maanake, askari wetu ni wananchi wenyewe ndio wanaotakiwa kuipigana hii vita, sio hao viongozi wanaoitangaza vita isiyojulikana adui ni nani.
Ni mda saa wa kuchapa kazi wakifungua mipaka tunawapelekea chakulaCorona ni adui ama rafiki yetu? We unadhani kwanini majirani wanatufungia mipaka? Mkuu au labda hukumuelewa boss wako kwamba vita tunapigana na nani?
Mkuu huwezi kusema vita ni dhidi ya corona, kwani Kenya wao hawaoambani na corona?
Mbona umekasirika, kulikoni?Wewe si umesema mimi nina akili ya kijinga ama za Kikenya? Ulivyokuwa mpumbavu hata hujui unachosema.
Trump kazungumzia mapambano dhidi ya corona ni sawa na vita au hakufanya hivyo?Kwaababu badala ya kujibu hoja unaanza kuitana majina.
Alisema ni vita dhidi ya adui asiyeonekana, ili akwepe jukumu la kutokuchukuwa hatua mapema. Hata marekani wanapoanza kufungua lockdowns taratibu, majimbo yanayofanya vizuri, ni yale yaliyokuwa na uthubutu wa kutangaza lockdown kabla ya Trump ili kuzuia maambukizi. Na hadi sasa ndiyo majimbo yanayoongoza kwa takwimu ndogo za maambukizi, na wameanza kufungua taratibu. Mfano ni gavana wa jimbo la Ohio ambaye ndiye wa kwanza kuchukuwa hatua na sasa anasifika marekani nzima kwani wananchi wako vizuri.Trump kazungumzia mapambano dhidi ya corona ni sawa na vita au hakufanya hivyo?
Unaogopa kumuuliza, unabaki kuzunguka zunguka tuna kumtetea.Alisema ni vita dhidi ya adui asiyeonekana, ili akwepe jukumu la kutokuchukuwa hatua mapema...
Afadhali sasa nikuache. Mtafute Mbowe muendelee kujadiliana manaake inaonekana mnaelewana. Niache nipumzike. Hata useme nini huwezi kunibadilisha maoni na misimamo yangu. Tunaelewana?Mkuu Magonjwa Mtambuka na wengineo wenye dhana potofu kuwa lockdown haijalipa sijui na blah blah gani! Hapo chini ni kuhusu gavana wa Ohio, ambaye jimbo lake linafanya vyema hadi sasa kwasababu alifuata maagizo ya wataalam toka mwanzo bila siasa! Pamoja na kwamba yeye ni republican kama Trump. Nimekuwekea link kabisa ili ukasome zaidi uelimike na kujiridhisha mwenyewe.
But the coronavirus crisis has made Mr. DeWine something that decades in elected offices never did: a household name. A Republican, he took early and bold actions to lock down his state, even as the head of his party, President Trump, dismissed the threat of the pandemic.
Mr. DeWine’s decisiveness — closing schools before any governor in the country, postponing the state’s March 17 primary election to protect voters — sent his popularity soaring. The folksy governor, previously best known for an annual ice cream social at his rural home, became something of a cult figure on social media. Ohioans tuned into his five-day-a-week briefings to celebrate “Wine With DeWine,” a ritual whose motto is “It’s 2 o’clock somewhere.”
Ohio’s G.O.P. Governor Splits From Trump, and Rises in Popularity
Yaani [emoji23][emoji23][emoji23]Hili suala la kuita wazungu mabeberu huwa linanikera utafikiri sisi watanzania ni mambuzi Jike...Ina maana sisi ni vimada wao? futeni hili jina acheni upuuzi
Hii ni ishara mbaya sana kwa taifa letu.Hizi kauli za viongozi hovyo kabisa.
Juzi jirani yetu wamesusiwa msiba na wanakijiji Hadi ndugu huku wakiitwa team corona wakati mmgonjwa kafa kwa shida ya moyo iliyomsumbua miaka tisa.Kwa uchovu wa Safari imewalazimu wao ndio watoe jeneza ndani ya gari kuungiza ndani kupeleka makaburini na kufukia.
Hivo mkipeleka mwili vijijini muende wanaume wa kutosha kule Hakuna ushirikiano Hadi corona ipite