jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,540
- 25,834
- Thread starter
- #41
Magonjwa Mtambuka , soma uelewe mkuu, usiwe mtu wa kukariri tu na kubugizwa matango pori.
Bila Shaka! Mojawapo ya majukumu ya usalama wa taifa makini ni kuandaa viongozi, na taasisi hii miaka ya mwl.. ilianza kukua vizuri katika misingi & uweledi. Lakini ilianza kupoteza muelekeo punde tuu baada ya siasa kupewa kipaumbele katika majukumu yao ndo mpaka leo ipo hivi.Duh! Mkuu kumbe tena kuna historia tata toka utotoni ya mkuu wa nchi? Hili wengine hatukulifahamu. Mambo hayo ni muhimu kufahamika, haswa na wana usalama wa Taifa letu.
Duh! Kaazi kweli kweli!Bila Shaka! Mojawapo ya majukumu ya usalama wa taifa makini ni kuandaa viongozi, na taasisi hii miaka ya mwl.. ilianza kukua vizuri katika misingi & uweledi. Lakini ilianza kupoteza muelekeo punde tuu baada ya siasa kupewa kipaumbele katika majukumu yao ndo mpaka leo ipo hivi.
Kuhusu historia ya jamaa ipo wazi kabisa hata kwa waliompatia kijiti, jaribu tuu kumfuatilia huyu mtu tangu alipopata ubunge ile 95(akiwa kama kijana wa Mzee B.Mkapa)
Yaani tangu 1995-2010 ushindi wake ni wa magumashi(ubabe & kununua) kwa hiyo haya mambo tunayoyaona leo watu kufika bei ni marudio tuu.
Hata kesi yake ya kufukuzwa Seminary ina maswali mengi sana fikirishi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dhidi ya nchi tajiriDhidi ya nani?
Nimeingiwa na wasiwasi sana na kuhisi kama vile tunaanza kutengwa na mataifa mengine. Siyo tu kwa Kenya kufunga mpaka kwa wakati mmoja na ule wa Somalia, lakini pia balozi wa Uingereza amefuata nyayo za wamarekani kuwandoa wananchi wao.
Kwenye ile hotuba mh rais aliposema kwamba walipima mbuzi na mapapai, nilimsikia akisema tuko vitani! Akatolea mfano wa barakoa za sumu.
Kama kweli rais Maghufuli anaichukulia kuwa hii ni vita, basi ni wazi tuko vitani. Lakini nashindwa kufahamu huyo adui tunayepambana naye. Wengi wanasema ni mabeberu, je ni kweli? Tuliletewa barakoa zenye corona na mabeberu? Nadhani hata kitendo cha kutokufuata taratibu na maelekezo ya mfano WHO, kimewaonyesha baadhi labda ni kweli adui ni mabeberu.
*chukuwa tahadhari dhidi ya corona.
Kwahiyo covid-19 waliingia kwenye barakoa ndo maana? Umesoma vyema na kuelewa?Adui wa vita hit ni Covid-19 pandemic, hio ndio standard statement duniani kote...
Lazima ujue ishu ya kiuchumi inambinu nyingi sn za kudidimiza nchi masikini ili ziendelee kunyonywa coz ni kweli ugonjwa upo lakini ukiiga mbinu zao hatutoboi. Wewe jiulize uanze kununua barakoa kutoka kwao kwa kila mtanzania na wanasema zinafanya kazi masaa manne tu.Tunapambanaje nazo?
Wewe ndio umemuelewa sio?...Magonjwa Mtambuka ! Nilikwambia hukumuelewa Trump wewe...
Nisome mara ngapi?Magonjwa Mtambuka , soma uelewe mkuu,....
-HA HA HA HA HA HA HA HAHili suala la kuita wazungu mabeberu huwa linanikera utafikiri sisi watanzania ni mambuzi Jike...Ina maana sisi ni vimada wao? futeni hili jina acheni upuuzi
Kuna maana nyingine ya neno "war"?Ungekuwa umemuelewa usingefananisha kauli zao kuhusu vita.
Kwa hiyo?Hilo neno siyo issue. Kasema “we are at war with an invisible enemy”
Halikuanza Leo. Kama ungeweza ungemuuliza Hayati Baba wa Taifa . Ndiye muasisi wa neno" mabeberu,manyangau,"Hili suala la kuita wazungu mabeberu huwa linanikera utafikiri sisi watanzania ni mambuzi Jike...Ina maana sisi ni vimada wao? futeni hili jina acheni upuuzi
In a live television broadcast, Magufuli announced the results: Covid-19 false positives. This, he alleged, revealed a picture of foreign conspiracy and domestic collusion: “Some workers may have been put on the payroll of imperialists.”Kwa hiyo?