Hata kwenye COVID19, Magufuli amesema tuko vitani! Je, tunapigana na nani? Tunapambanaje kwenye vita hii?

Hata kwenye COVID19, Magufuli amesema tuko vitani! Je, tunapigana na nani? Tunapambanaje kwenye vita hii?

"jmushi1, post: 35383085, member: 7802"]
Nimeingiwa na wasiwasi sana tunaanza kutengwa na mataifa kama Kenya kufunga mpaka kwa wakati mmoja na ule wa Somalia, balozi wa Uingereza/wamarekani kuwandoa wananchi wao.
Tumetengwa na Washrika na ndugu kama wa SADC na EAC,wametuchoka.Tupo dunia yetu wenyewe! Haijawahi kutokea!
Kwenye ile hotuba mh rais aliposema kwamba walipima mbuzi na mapapai, nilimsikia akisema tuko vitani! Akatolea mfano wa barakoa za sumu.
Kuna mambo tunajitakia. Hili la vipimo ni mojawapo, limezungumzwa duniani kwa dhihaka. Hoja ya vipimo si ngeni, mataifa makubwa kuna tatizo la vipimo. Tatizo letu haielezeki kisayansi.Kipimo ni specific kwa tatizo fulani, kwa kutumia sample nje ya ''calibration'' hutapata majibu sahihi.
Wengi wanasema ni mabeberu, je ni kweli? Tuliletewa barakoa zenye corona na mabeberu? Nadhani hata kitendo cha kutokufuata taratibu na maelekezo ya mfano WHO, kimewaonyesha baadhi labda ni kweli adui ni mabeberu.
Hili la mabeberu lilikuwa zama hizo, zama hizi hazi watu wana weledi. Hivi mabeberu wanatamani nini Tanzania kuliko mataifa mengine? Tanzania ina kitu gani tofauti na majirani zetu wa EAC , SADC na AU kiasi cha kushambuliwa na mabeberu? Ukiitazama Tanzani unajiuliza katika dunia tuna kitu gani cha kuitetemesha hadi tuandamwe?
Hawa majirani zetu wao wamefuata maelekezo yote toka mwanzo na sasa inaonekana wanaanza kuelekea kwenye msimamo kama wa mabeberu, sidhani kama tunapigana vita na majirani zetu.
Halafu tunawalaumu wakifunga mipaka. Sisi tuliamua kutofunga kwasababu wanatutgemea, wao wanafunga kwasababu wanajali raia wao, kwanini tuwaone wabaya? Tukae kimya kwa maamuzi yetu na tuwaache na yao
Naona kama vile ni suala ambalo limeshaleta mgawanyiko siyo tu ndani ya nchi, bali hata kwa majirani zetu na hata wafadhili wetu AKA mabeberu.
Kama ni vita ningeshauri tusiingie! tumegawanyika kuliko wakati wowote wa uhuru wetu. Mgawanyiko tumeujenga wenyewe.Sio Tanzania ile tunayoijua.
Kama wamewaondoa raia wao nchini mwetu peke yake na hawajawaondoa kwa jirani, basi ni wazi hata wakati wa kutangaza kuondoa masharti, sisi tutaachwa nje. Wanaweza wakaja wale wenye kazi za muhimu tu na siyo utalii.
Tutalipa gharama kubwa kwa ukaidi. Ni fair,ikiwa haijulikani tuna wagonjwa wangapi, ikiwa AU, SADC.EAC, WHO wanatusota madole na majirani wanatutenga seuse huyo Mzungu wa kuja.Hili halitaishia utalii, linaeleza instability na vulnerability ya Taifa, investors watakimbia na tutaona tunavyopuuzwa kama ilivyotokea SADC na EAC
Ukitangaza vita, ni lazima ujuwe umejipanga vipi kupambana. Tatizo linalojitokeza ni either maadui kuongezeka, au labda kutokufahamika?
Hakuna vita, tuna maradhi ya dunia nzima. Italy wamezika kwa magari ya jeshi, Iran, UK, US watu wanapukutika , vipi tudhani tuna vita yetu wenyewe.
Kama adui anatokea nje ya mipaka ya Africa, then tumewa isolate majirani ambao wangekuwa washirika wetu? Na kama vita hii ni nje tu ya mipaka ya Tanzania, je tuna umoja wa kitaifa unaohitajika?
Ile reliability and influence ya Tanzania katika ukanda na Afrika iliyojengwa na Awamu zilizopita kwa gharama kubwa imefutika kabisa! Wenzetu wana tu neglect sana.

JokaKuu Mzee Mwanakijiji tindo
 
Acha kumuogopa Trump wewe. Yaani kunya anye kuku sio? (Ashakum si matusi).
Nimemuogopa Trump kivipi? Mkuu alipokuwa akihutubia, alisema “unseen enemy” akimaanisha covid-19, au unataka nikuletee hiyo speech hapa?
 
Juzi wamemteka mateka mdude, wamezuia speech ya mbowe, kule bungeni kila siku wakina ndungai, wabunge wa ccm kutwa wanapambana na upinzani, wazungu sio mabeberu ndio maana wanaitwa ikulu sometimes tunaenda wenyewe ulaya kuomba hela ya kufanya maendeleo yetu.

Sasa kama wangekuwa ndio maandui wa vita hata ndege zetu tusingenunua tokwa, adui halisi wa jiwe ni upinzani hao ndio kila siku wanauwawa, kutekwa , kupotezwa, ondoa hofu mkuu, soon watafuta vyama vingi na adui atapotea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jmushi1 Huu utawala (kama unavyojiita) badala ya uongozi, wa awamu hii kuuchambua ni shida sana kwa sababu:-

-Haufwati taratibu & sheria za ndani na nje ya nchi kwa Makusudi
-Unaakisi zaidi katika visasi na kukomoa

-Wale wachache wenye akili waliopo ndani ya uongozi wameamua kutupa bongo zao pasipojulikana mf. S Jaffo

-Mbaya zaidi ni kwamba tunaongozwa na mtu ambaye, hata historia ya tabia zake tangu utotoni ina walakini kuanzia: kufikiri, kuamua, kutenda n.k

Kwa hiyo maneno, maamuzi & mitizamo yake ilipaswa kupuuzwa lakini kutokana na mamlaka aliyonayo inatugharimu kama TAIFA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maneno kama “mabeberu”, “maadui wa nje”, “tuko kwenye vita” nk huwa ni propaganda za kuwauza akili wanyonge. Mtu mwenye ufahamu na uelewa wa mambo atataka kufahamu anayepigana nae ni nani na ana uwezo gani ili kukabiliana naye. Na adui hakuwahi kutajwa popote!!

Hanaitwa mabeberu na maadui tu tunapopishana fikra au madharia au mawazo. Lakini ni hao hao tunawaita wahisani wa maendeleo, wafadhili, wakopeshaji, wawekezaji wa nje, watalii nk.

Unafiki na hila vitatufikisha pabaya sana!!
Damn right my man. Umefafanu vema kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jmushi1 Huu utawala (kama unavyojiita) badala ya uongozi, wa awamu hii kuuchambua ni shida sana kwa sababu:-
-Haufwati taratibu & sheria za ndani na nje ya nchi kwa Makusudi
-Unaakisi zaidi katika visasi na kukomoa
-Wale wachache wenye akili waliopo ndani ya uongozi wameamua kutupa bongo zao pasipojulikana mf. S Jaffo
-Mbaya zaidi ni kwamba tunaongozwa na mtu ambaye, hata historia ya tabia zake tangu utotoni ina walakini kuanzia: kufikiri, kuamua, kutenda n.k
Kwa hiyo maneno, maamuzi & mitizamo yake ilipaswa kupuuzwa lakini kutokana na mamlaka aliyonayo inatugharimu kama TAIFA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! Mkuu kumbe tena kuna historia tata toka utotoni ya mkuu wa nchi? Hili wengine hatukulifahamu. Mambo hayo ni muhimu kufahamika, haswa na wana usalama wa Taifa letu.
 
Juzi wamemteka mateka mdude, wamezuia speech ya mbowe, kule bungeni kila siku wakina ndungai, wabunge wa ccm kutwa wanapambana na upinzani, wazungu sio mabeberu ndio maana wanaitwa ikulu sometimes tunaenda wenyewe ulaya kuomba hela ya kufanya maendeleo yetu, sasa kama wangekuwa ndio maandui wa vita hata ndege zetu tusingenunua tokwa, adui halisi wa jiwe ni upinzani hao ndio kila siku wanauwawa, kutekwa , kupotezwa, ondoa hofu mkuu, soon watafuta vyama vingi na adui atapotea.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa, wapinzani ni adui mkubwa sana. Mpinzani yeye anaambiwa kuwa anashirikiana na beberu. Kwahiyo mpinzani ni adui tu kama alivyo beberu. Wapinzani watauwawa na kutekwa kama ulivyosema, lakini siyo mabeberu.

Ndiyo maana wanachofanya wapinzani, kinapingwa na kunasibishwa na mabeberu. Mfano juzi kati bungeni na hatua za partial lockdown au lockdowns za baadhi ya maeneo yaliyokuwa na maambukizi mengi mfano Dar.

Sasa inaonekana hata nchi jirani nao wanafanya kile ambacho mabeberu na wapinzani wanafanya.
 
Haya, lete tuone.
Nimekuwekea hapo chini, kilichobakia ni uwezo wako wa kusoma na kuelewa. Na hii ni endapo haukuwa na uwezo wa kusikiliza na kuelewa...aliviita virusi hivi “adui asiyeonekana” na kusema kuwa “hakuna serikali yoyote ingeweza kujitarisha”, kwahiyo Trump yeye anatumia neno hilo ili kujitetea kutokana na uchaguzi mkuu unaokuja November.

“We have to fight that invisible enemy,” Trump first said at a March 17 presser. “It’s called the invisible enemy, and that’s what it is: it’s an invisible enemy,” he said in a March 18 video blog. In his March 18 presser, he called it the “invisible enemy” three times, just in case listeners weren’t paying attention, and used the phrase every day for the next 18 days, missing only March 25. But he didn’t fail to hammer his theme with a pitchman’s verve: “Nobody could ever have seen something like this coming,” he said.

“We are learning much about the Invisible Enemy,” Trump tweeted on the April 5. “It is tough and smart, but we are tougher and smarter.” It might have seemed weird for the president to attribute intelligence to a tangle of nucleic acids inside a protein shell coated by a fatty jacket, but there’s been a method to Trump's weirdness from the beginning. Viewed from the lowest level of cognition, you’d have to concede that Trump is right. Viruses are unseeable by the naked eye. And broadly speaking, it’s fair to apply the metaphor of “enemy” to a host of hardships—hurricanes, old age, alcoholism, famine, et al. Given Trump’s preference for plain-speak over metaphor, you’ve got to wonder how he came to call coronavirus the invisible enemy.
 
Na mimi nakuwekea hotuba yake aliposema ""I view the invisible enemy [coronavirus] as a war," he said. "I don't like how it got here, because it could have been stopped, but no, I view the invisible enemy like a war." Kalagabaho!
bbc.com
 
Kama unadhani alisema hivyo ili kumuiga Trump, basi utakuwa hukumuelewa Trump, ama umeingia cha kike stendi!
Na mimi nakuwekea hotuba yake aliposema ""I view the invisible enemy [coronavirus] as a war," he said. "I don't like how it got here, because it could have been stopped, but no, I view the invisible enemy like a war." Kalagabaho!
bbc.com
By calling the virus “invisible,” Trump implies that he can’t be responsible for its wreckage because who can be expected to see an invisible thing coming? And once the unseeable thing has arrived, there are limits to what one can be expected to do about it!

Trump can claim the virus was invisible, but only if he will admit his blindness was self-imposed. As the press has demonstrated again and again, Trump routinely downplayed or dismissed its danger, averting his eyes to the coming cataclysm.

Opinion | Behind Trump’s Strange ‘Invisible Enemy’ Rhetoric
 
Back
Top Bottom