Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 3,626
- 3,869
Wazee na wanawake wengi pia wanamuunga mkono Lissu.Mbowe amedhibiti Baraza la Wanawake Chadema na Baraza la Wazee Chadema. Hata kama Lissu alishinda, taasisi hizi zisitoe ushirikiano wowote kwa Lissu.
Pia wajumbe wa Kamati Kuu wa Mbowe wasishiriane kabisa na Lissu
Lissu anakuzidi kuanzia elimu mpaka pesa.lisu hawezi kushinda mkuu, lisu hana credibility, mdomo wake mchafu sana CCM watalala nae Mbele
Ubongo wako utakuwa changamoto. Kapate matibabu mapema kabla mambo hayajakuwa mabaya zaidi.Mbowe amedhibiti Baraza la Wanawake Chadema na Baraza la Wazee Chadema. Hata kama Lissu alishinda, taasisi hizi zisitoe ushirikiano wowote kwa Lissu.
Pia wajumbe wa Kamati Kuu wa Mbowe wasishiriane kabisa na Lissu
Pale CCM kwetu hakuna wa kuchallenge.Naangalia hapa CCM wamepiga kura kwa wakati mfupi sana ya Wasira.
Chadema jana Bawacha watu 300 kura zinahesabiwa siku 3.
Mbowe akiambiwa na timu yake wanafanya uchakachuaji wa kura na rushwa anakataa. Jawabu lake leta uthibitisho!
Lakini kimazingira hapa kunaonekana kuna namna! Kuna shida mahali!
Hujui dunia , kwa nini , lissu ndo Mwenyekiti ajae,Mbowe amedhibiti Baraza la Wanawake Chadema na Baraza la Wazee Chadema. Hata kama Lissu alishinda, taasisi hizi zisitoe ushirikiano wowote kwa Lissu.
Pia wajumbe wa Kamati Kuu wa Mbowe wasishiriane kabisa na Lissu
Ungemalizia hoja yako na CCM HoyeeeehMbowe amedhibiti Baraza la Wanawake Chadema na Baraza la Wazee Chadema. Hata kama Lissu alishinda, taasisi hizi zisitoe ushirikiano wowote kwa Lissu.
Pia wajumbe wa Kamati Kuu wa Mbowe wasishiriane kabisa na Lissu
mbona wewe mbowe amekukaaa
Wewe kibaka wa CCM tuondolee utaahira wako wa kiccm hapa wewe kama nani uwaambie wanachadema jinsi ya kufanya kazi zao,pumbavu kabisa kutwa unaandika ujinga tu hapa.Mbowe amedhibiti Baraza la Wanawake Chadema na Baraza la Wazee Chadema. Hata kama Lissu alishinda, taasisi hizi zisitoe ushirikiano wowote kwa Lissu.
Pia wajumbe wa Kamati Kuu wa Mbowe wasishiriane kabisa na Lissu
TLS walikua 2200 walitumia masaa yasiyozidi 14 lkn Mbowe na genge lake eti siku 3, kwa wajumbe 300. Sasa wajumbe 1200 siitakua week nzima mkuu.Naangalia hapa CCM wamepiga kura kwa wakati mfupi sana ya Wasira.
Chadema jana Bawacha watu 300 kura zinahesabiwa siku 3.
Mbowe akiambiwa na timu yake wanafanya uchakachuaji wa kura na rushwa anakataa. Jawabu lake leta uthibitisho!
Lakini kimazingira hapa kunaonekana kuna namna! Kuna shida mahali!
Ccm Mwaka huu kazi mnayoMbowe amedhibiti Baraza la Wanawake Chadema na Baraza la Wazee Chadema. Hata kama Lissu alishinda, taasisi hizi zisitoe ushirikiano wowote kwa Lissu.
Pia wajumbe wa Kamati Kuu wa Mbowe wasishiriane kabisa na Lissu
Kutotoa ushirikiano faida yake ni nini?Mbowe amedhibiti Baraza la Wanawake Chadema na Baraza la Wazee Chadema. Hata kama Lissu alishinda, taasisi hizi zisitoe ushirikiano wowote kwa Lissu.
Pia wajumbe wa Kamati Kuu wa Mbowe wasishiriane kabisa na Lissu
Mbowe amedhibiti Baraza la Wanawake Chadema na Baraza la Wazee Chadema. Hata kama Lissu alishinda, taasisi hizi zisitoe ushirikiano wowote kwa Lissu.
Pia wajumbe wa Kamati Kuu wa Mbowe wasishiriane kabisa na Lissu
Mwambie huyo maana hajielewi,lissu kamkaa sana kichwaniUnahangaika sana na LISSU, kwanini usijikite kwenye mkutano wenu wa CCM Dodoma!?,wewe ni CCM unajulikana. Nyie ndo mmemponza Mbowe mpaka anaonekana kweli ni agent wa CCM. Kila nusu saa unaanzisha thread against LISSU, huna demu/mke?,hushabikii mpira!?,huna hobby yoyote hata kuangalia movie!???,.. wewe ni LISSU tu masaa 24!?...,watu kama nyie mkizeeka mnakuwaga WACHAWI.
Mwenyewe !!Nyanoko
Huo uchaguzi wa tarehe 21 watu watatoana damu kwa mambo ambayo wanayafanya.TLS walikua 2200 walitumia masaa yasiyozidi 14 lkn Mbowe na genge lake eti siku 3, kwa wajumbe 300. Sasa wajumbe 1200 siitakua week nzima mkuu.
Nani alikuambia kuwa watu wenye akili huwa wanapokea ushauri wa kijinga kutoka kwa watu wanafiki??Mbowe amedhibiti Baraza la Wanawake Chadema na Baraza la Wazee Chadema. Hata kama Lissu alishinda, taasisi hizi zisitoe ushirikiano wowote kwa Lissu.
Pia wajumbe wa Kamati Kuu wa Mbowe wasishiriane kabisa na Lissu