Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 3,626
- 3,869
Wazee na wanawake wengi pia wanamuunga mkono Lissu.Mbowe amedhibiti Baraza la Wanawake Chadema na Baraza la Wazee Chadema. Hata kama Lissu alishinda, taasisi hizi zisitoe ushirikiano wowote kwa Lissu.
Pia wajumbe wa Kamati Kuu wa Mbowe wasishiriane kabisa na Lissu
Utajua baada ya uchaguzi.