Hata Lissu akishinda, BAWACHA na BAZECHA, na wajumbe wengine wa kamati kuu wasitoe ushirikiano wowote kwa Lissu

Mbowe amedhibiti Baraza la Wanawake Chadema na Baraza la Wazee Chadema. Hata kama Lissu alishinda, taasisi hizi zisitoe ushirikiano wowote kwa Lissu.

Pia wajumbe wa Kamati Kuu wa Mbowe wasishiriane kabisa na Lissu
Wakatoe ushirikiano ccm au?
Hoja za kijinga.
Watu wa maana wote wapo timu Lisu na hiyo timu inajitosheleza
 
Naangalia hapa CCM wamepiga kura kwa wakati mfupi sana ya Wasira.

Chadema jana Bawacha watu 300 kura zinahesabiwa siku 3.

Mbowe akiambiwa na timu yake wanafanya uchakachuaji wa kura na rushwa anakataa. Jawabu lake leta uthibitisho!

Lakini kimazingira hapa kunaonekana kuna namna! Kuna shida mahali!
Mbowe itakuwa alishaweka fungu...
Jamaa pesa ipo...
 
Ndio katiba Yao inavyo SEMA?
KAZI ni kipimo cha UTU
 
Mkuu, umetuchosha na hizi propaganda zako..

Kwenye maburungutu ya mama abduli wange mtafuta huyu/ consultant.
Professor Nic Cheeseman
Wa University of Birmingham.

Anakitabu chake na kina mbinu nyingi Sana ""how to rig an election without getting caught"
Usichoke mkuu, ukichoka wenzio watakuja kukujibia
 
Mwanzo ilikuwa Lissu hawezi kushinda kamwe! Ikaja Mbowe kiboko yao! Saa hizi imefikia 'hata Lissu akishinda' .....

Kweli Lissu kajua kupindua meza

Mnahangaika sana.
Ilianza Mbowe usigombee, ni wakati wa kupumzika maana umekikalia kiti kwa muda mrefu mno.

Ikaja Mbowe jitoee maana hauwezi kupata kitu. Wakatoka watu kutoka kila mkoa wakisema hawana imani na Mbowe.

Ikaja Mbowe anahonga wagombea na amejitayarisha kuiba uchaguzi.

Tofauti yetu na nyie ni kuwa sisi tunataka maamuzi yapatikane kwenye sanduku la kura. Yeyote atakaeshinda tutamkubali.

Nyie mnasema mtakubali matokeo kama Lissu atashinda. Akishinda mwingine ni kwa sababu katumia mbinu chafu.

Kwa kweli hamueleweki.

Amandla...
 
Ni nini umeandika hapa? Sipendagi watu wajinga ku quote comments zangu
 
Mbowe amedhibiti Baraza la Wanawake Chadema na Baraza la Wazee Chadema. Hata kama Lissu alishinda, taasisi hizi zisitoe ushirikiano wowote kwa Lissu.

Pia wajumbe wa Kamati Kuu wa Mbowe wasishiriane kabisa na Lissu
Huo waswahili tunauita wanga.
 
Mbowe amedhibiti Baraza la Wanawake Chadema na Baraza la Wazee Chadema. Hata kama Lissu alishinda, taasisi hizi zisitoe ushirikiano wowote kwa Lissu.

Pia wajumbe wa Kamati Kuu wa Mbowe wasishiriane kabisa na Lissu
Kwani Lisu amekuambia anahitaji ushirikiano? Chawa unakwama wapi?
 
Mbowe amedhibiti Baraza la Wanawake Chadema na Baraza la Wazee Chadema. Hata kama Lissu alishinda, taasisi hizi zisitoe ushirikiano wowote kwa Lissu.

Pia wajumbe wa Kamati Kuu wa Mbowe wasishiriane kabisa na Lissu
Meza imepinduliwa tayari
 
Mbowe amedhibiti Baraza la Wanawake Chadema na Baraza la Wazee Chadema. Hata kama Lissu alishinda, taasisi hizi zisitoe ushirikiano wowote kwa Lissu.

Pia wajumbe wa Kamati Kuu wa Mbowe wasishiriane kabisa na Lissu
USIYE MTAKA KAJA
 
lisu hawezi kushinda mkuu, lisu hana credibility, mdomo wake mchafu sana CCM watalala nae Mbele
 
Back
Top Bottom