Wakatoe ushirikiano ccm au?Mbowe amedhibiti Baraza la Wanawake Chadema na Baraza la Wazee Chadema. Hata kama Lissu alishinda, taasisi hizi zisitoe ushirikiano wowote kwa Lissu.
Pia wajumbe wa Kamati Kuu wa Mbowe wasishiriane kabisa na Lissu
Hoja za kijinga.
Watu wa maana wote wapo timu Lisu na hiyo timu inajitosheleza