Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Kwa nini usikae kimya?Wkt anafurahia utamu wa Vieite si alikua mwenyewe?Atakula alikopeleka mboga.
Tunapenda kumshambulia mtu nasio mawazo
Nape Nnauye naye ni CHADEMA?
Wewe ni nani hadi unyamazishe watu humu, fala kweli weweKwa nini usikae kimya?
Aliyechelewesha hayo mamiradi yote amezikwa Chato jinga wewe, SGR ilikuwa izinduliwe 2020, Huo mradi wa maji hadi anakufa ulikuwa nyuma ya muda zaidi ya siku 300!! Mlizoea kuishi kwa Propaganda za kishamba, now nyeupe mtaambiwa ni nyeupe, na mtaishia kupiga makelele mitandaoni humu ila cha kufanya hamnaHuyu kijana atauwa na utawala huu kwani anapowaweka mafisadi na wahujumu wa maendeleo wazi inawauma ndiyo maana Bulembo kaja wazi kweupe na kutamka jina la POLEPOLE na hata Polepole akiuwa na yote yaliyoanza kummkuta Bulembo anahusika ila timu Samia wamemtum...
Insane?Naam! Ni kama mlovyotaka kumuua Lissu nyie MaCCM mlisherehekea mnoo.
"Wakimalizana na sisi, watawageukia na nyie" By Lissu
Sababu ni vilema wa kufikiri na kuheshimu akili na ni wapumbavu wenye kirusi cha uogaTunapenda kumshambulia mtu nasio mawazo
Namalizia kunyer then nikae kimya.Kwa nini usikae kimya?
Hawajampiga miti kweli?Kama Polepole anqvamiwa ivyo hali ikoje kwa raia wa kawaida