The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Endelea kujaRaisi ajae ambae ni mimi ntasimama kati ya wazalendo na wasaka tonge, au vipi hapo?
🙂🙂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kujaRaisi ajae ambae ni mimi ntasimama kati ya wazalendo na wasaka tonge, au vipi hapo?
🙂🙂
Halafu uwe na adabu kidogo mimi sio kiroboto ni zaidi ya huyo Polepole, alaaah!Endelea kuja
Unafurahia Biashara ya binadamu iliyobatizwa jina la kihuni eti "kuunga juhudi?" Juhudi inaungwa na nini? Nani alikuwa na juhudi iliyokatika ikahitaji kuungwa na Wapinzani? Aliyekudanganya CCM walikuwa kitu kimoja wakati wa Magufuli Nani? Unajifanya kipofu? Kwa nini waliompinga ndani ya CCM hawakuunga hizo juhudi?Inashangaza sana kuona wafuasi na wanachama wa upinzani wanafurahia uonevu anaofanyiwa Hamphrey Polepole. Hii yote ni sababu tu alipokuwa mwenezi wa CCM taifa alijenga imani ya CCM kwa wananchi na kusababisha wapinzani wengi kuunga juhudi.
Anakosea nini kukosoa na kusema kweli kuwa Ccm inafanya makosa? Anakosea nini kukosoa juu ya mradi wa JNHP kucheleweshwa bila sababu? Kama kuna harufu za kifisadi juu ya pesa umma, au miradi kama bandari ya Bagamoyo, kuna kosa?
Je, mnadhania watanzania wanaupofu? Hawaoni kuwa Polepole anasimamia wapi?
Watanzania wazalendo wapo pamoja na Polepole.
Tulisha onya kule nyuma dhana ya kujenga watu binafsi badala ya kujenga taasisi imara. Malumbano haya nawahakikishia hayatauacha salama. Tujenge taasisi imara tuachane na watu watu wajijenge wenyewe kwa kuonyesha uzalendo. Leo wahuni watamvamia Polepole, kesho Musa, keshokutwa Mstafa.....tutegemee nini hapo kama siyo vurugu.Inashangaza sana kuona wafuasi na wanachama wa upinzani wanafurahia uonevu anaofanyiwa Hamphrey Polepole. Hii yote ni sababu tu alipokuwa mwenezi wa CCM taifa alijenga imani ya CCM kwa wananchi na kusababisha wapinzani wengi kuunga juhudi.
Anakosea nini kukosoa na kusema kweli kuwa Ccm inafanya makosa? Anakosea nini kukosoa juu ya mradi wa JNHP kucheleweshwa bila sababu? Kama kuna harufu za kifisadi juu ya pesa umma, au miradi kama bandari ya Bagamoyo, kuna kosa?
Je, mnadhania watanzania wanaupofu? Hawaoni kuwa Polepole anasimamia wapi?
Watanzania wazalendo wapo pamoja na Polepole.
Tumia akili kidogo.Inashangaza sana kuona wafuasi na wanachama wa upinzani wanafurahia uonevu anaofanyiwa Hamphrey Polepole. Hii yote ni sababu tu alipokuwa mwenezi wa CCM taifa alijenga imani ya CCM kwa wananchi na kusababisha wapinzani wengi kuunga juhudi.
Anakosea nini kukosoa na kusema kweli kuwa Ccm inafanya makosa? Anakosea nini kukosoa juu ya mradi wa JNHP kucheleweshwa bila sababu? Kama kuna harufu za kifisadi juu ya pesa umma, au miradi kama bandari ya Bagamoyo, kuna kosa?
Je, mnadhania watanzania wanaupofu? Hawaoni kuwa Polepole anasimamia wapi?
Watanzania wazalendo wapo pamoja na Polepole.
Polepole hapigani na wapinzani polepole analumbana na CCM. Polepole hayuko mwenyewe kuna kundi kubwa la wanaccm nyuma yake. Bungeni wamejitosheleza kwa wananchi amejitosheleza.Inashangaza sana kuona wafuasi na wanachama wa upinzani wanafurahia uonevu anaofanyiwa Hamphrey Polepole. Hii yote ni sababu tu alipokuwa mwenezi wa CCM taifa alijenga imani ya CCM kwa wananchi na kusababisha wapinzani wengi kuunga juhudi.
Anakosea nini kukosoa na kusema kweli kuwa Ccm inafanya makosa? Anakosea nini kukosoa juu ya mradi wa JNHP kucheleweshwa bila sababu? Kama kuna harufu za kifisadi juu ya pesa umma, au miradi kama bandari ya Bagamoyo, kuna kosa?
Je, mnadhania watanzania wanaupofu? Hawaoni kuwa Polepole anasimamia wapi?
Watanzania wazalendo wapo pamoja na Polepole.
JPM asingekufa,angeyasema anayoyasema?huyu anasema kwa sababu amenyanganywa "vii eiti"V8 la ukatibu mwenezi!Inashangaza sana kuona wafuasi na wanachama wa upinzani wanafurahia uonevu anaofanyiwa Hamphrey Polepole. Hii yote ni sababu tu alipokuwa mwenezi wa CCM taifa alijenga imani ya CCM kwa wananchi na kusababisha wapinzani wengi kuunga juhudi.
Anakosea nini kukosoa na kusema kweli kuwa Ccm inafanya makosa? Anakosea nini kukosoa juu ya mradi wa JNHP kucheleweshwa bila sababu? Kama kuna harufu za kifisadi juu ya pesa umma, au miradi kama bandari ya Bagamoyo, kuna kosa?
Je, mnadhania watanzania wanaupofu? Hawaoni kuwa Polepole anasimamia wapi?
Watanzania wazalendo wapo pamoja na Polepole.
Mlimwekaje fisadi kuwa meneja kampeni wa "mzalendo?"Yawa jambo zuri maana mzee Bulembo mwizi wa fedha za jumuiya ya wazazi amejitokeza na anafahamika kuwa ni mwizi mkubwa.
Serikali mpya baada ya wahuni kuondolewa itawashughulikia ipasavyo hawa wote maana JPM aliwaachia kwa kuwaogopa na bado maisha yake yakahujumiwa.
Yupo raisi aja na huyo atakuwa ni zaidi ya JPM.
Mwacheni Polepole msimzime twataka kusikia mambo mazito.
Alichelewa siku 300? Kwahiyo alikufa kabla ya mradi kuanza kutekelezwa? 😂Aliyechelewesha hayo mamiradi yote amezikwa Chato jinga wewe, SGR ilikuwa izinduliwe 2020, Huo mradi wa maji hadi anakufa ulikuwa nyuma ya muda zaidi ya siku 300!! Mlizoea kuishi kwa Propaganda za kishamba, now nyeupe mtaambiwa ni nyeupe, na mtaishia kupiga makelele mitandaoni humu ila cha kufanya hamna
Hakuna mtanzania anayemuunga mkono huyo mpuuzi wako! Labda nyie waburundi na dawa yenu ishachemka, subirini kuinywa tuInashangaza sana kuona wafuasi na wanachama wa upinzani wanafurahia uonevu anaofanyiwa Hamphrey Polepole. Hii yote ni sababu tu alipokuwa mwenezi wa CCM taifa alijenga imani ya CCM kwa wananchi na kusababisha wapinzani wengi kuunga juhudi.
Anakosea nini kukosoa na kusema kweli kuwa Ccm inafanya makosa? Anakosea nini kukosoa juu ya mradi wa JNHP kucheleweshwa bila sababu? Kama kuna harufu za kifisadi juu ya pesa umma, au miradi kama bandari ya Bagamoyo, kuna kosa?
Je, mnadhania watanzania wanaupofu? Hawaoni kuwa Polepole anasimamia wapi?
Watanzania wazalendo wapo pamoja na Polepole.
Kutesa kwa zamu.Kama Polepole anqvamiwa ivyo hali ikoje kwa raia wa kawaida
Mawazo gani?ya vieitee?Tunapenda kumshambulia mtu nasio mawazo
Polepole anawaamsha wendawazimu. Hakuna mwenye akili timamu wa kumsha na Polepole. Mikono ya Polepole imajaa damu za Watanzania wasio na hatia, walioteswa, kutekwa na wengine kuuawa.Huyu kijana atauwa na utawala huu kwani anapowaweka mafisadi na wahujumu wa maendeleo wazi inawauma ndiyo maana Bulembo kaja wazi kweupe na kutamka jina la POLEPOLE na hata Polepole akiuwa na yote yaliyoanza kummkuta Bulembo anahusika ila timu Samia wamemtuma Bulembo
Polepole anawaamsha wengi hasa ucheleweshaji wa miradi aliyoianzisha brother JPM zaid zaidi wa umeme kwa kisingizio cha CRANE for fucks sake what a crane?? Ona Samia kawatoa Chamriho na Kalemani bila kutaja mapungufu yao kimya kimya why walikuwa ni vikwanza wa dhamira yake ya ucheleweshaji wa miradi ambayo wawili hao walikuwa wanasimamia 24/7
Watanzania jueni kwa Samia yametimia ufisadi unarudi kwa kasi
SGR treini za Dar Moro ilikuwa zianze majaribio November iliyopita leo wamesema labda mwakani
CCM badilisheni katiba tumpate atakayekuwa aghalau nusu ya brother JPM kama ni haja ya rais wa kike wapo wengi siyo lazima Samia mnaona wenyewe
Huko Tanesco tayari kina Makamba washaleta kampuni ya kutoka India kwa malipo ya dollar 30m per year kwa kazi gani only January knows na huko TRC tunasubiri kauli za wabia,,, unatafutaje wabia wakati umeshajenga?? it doesnt make sense
huyo ni mpiga kelele tu.Polepole is by far genius as compared to the bogus Nape.
Watanzania wengi tunakuunga mkono mheshimiwa Polepole. Endelea kuwapelekea moto.
#kataawahuni
Lissu ni shuhuda mzuri wa hilo kuliko Polepole wako.You’re right about that; we’re a very hopeless society!
Wewe sio mtanzania! Wewe ni mburundiPolepole is by far genius as compared to the bogus Nape.
Watanzania wengi tunakuunga mkono mheshimiwa Polepole. Endelea kuwapelekea moto.
#kataawahuni
Sema mimi na mume wangu, siyo watanzania.Inashangaza sana kuona wafuasi na wanachama wa upinzani wanafurahia uonevu anaofanyiwa Hamphrey Polepole. Hii yote ni sababu tu alipokuwa mwenezi wa CCM taifa alijenga imani ya CCM kwa wananchi na kusababisha wapinzani wengi kuunga juhudi...