wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
ππ Walikua wanashangilia wakikata mauno wakisema Lissu amejipiga risasi mwenyewe.Polepole atakua amejitekaHakuna mtanzania yupo na polepole, tena ilibidi apigwe risasi hata tano ili iwe fundisho kwa wapumbabu kama yeye.
Wakati Mawazo ya Lissu yanapigwa risasi 16 ulikuwa hujazaliwa, au ulishangilia?
ACHA UNAFKI.
Nyambaf zakoStupid
Naskia wamekuta KYHawajampiga miti kweli?
Haaaa kwenye keyboard mko pamoja nae na Nia zenu njema ila sasa hapo front hakuna anayeweza kujitokeza kuonyesha kuwa pamoja πππππInashangaza sana kuona wafuasi na wanachama wa upinzani wanafurahia uonevu anaofanyiwa Hamphrey Polepole. Hii yote ni sababu tu alipokuwa mwenezi wa CCM taifa alijenga imani ya CCM kwa wananchi na kusababisha wapinzani wengi kuunga juhudi.
Anakosea nini kukosoa na kusema kweli kuwa Ccm inafanya makosa? Anakosea nini kukosoa juu ya mradi wa JNHP kucheleweshwa bila sababu? Kama kuna harufu za kifisadi juu ya pesa umma, au miradi kama bandari ya Bagamoyo, kuna kosa?
Je, mnadhania watanzania wanaupofu? Hawaoni kuwa Polepole anasimamia wapi?
Watanzania wazalendo wapo pamoja na Polepole.
We mpumbavu nini,Rais akutajie mapungufi ya wateule wako wewe kama nani? Na bado huo ni ujumbe tunawapa.Huyu kijana atauwa na utawala huu kwani anapowaweka mafisadi na wahujumu wa maendeleo wazi inawauma ndiyo maana Bulembo kaja wazi kweupe na kutamka jina la POLEPOLE na hata Polepole akiuwa na yote yaliyoanza kummkuta Bulembo anahusika ila timu Samia wamemtuma Bulembo
Polepole anawaamsha wengi hasa ucheleweshaji wa miradi aliyoianzisha brother JPM zaid zaidi wa umeme kwa kisingizio cha CRANE for fucks sake what a crane?? Ona Samia kawatoa Chamriho na Kalemani bila kutaja mapungufu yao kimya kimya why walikuwa ni vikwanza wa dhamira yake ya ucheleweshaji wa miradi ambayo wawili hao walikuwa wanasimamia 24/7
Watanzania jueni kwa Samia yametimia ufisadi unarudi kwa kasi
SGR treini za Dar Moro ilikuwa zianze majaribio November iliyopita leo wamesema labda mwakani
CCM badilisheni katiba tumpate atakayekuwa aghalau nusu ya brother JPM kama ni haja ya rais wa kike wapo wengi siyo lazima Samia mnaona wenyewe
Huko Tanesco tayari kina Makamba washaleta kampuni ya kutoka India kwa malipo ya dollar 30m per year kwa kazi gani only January knows na huko TRC tunasubiri kauli za wabia,,, unatafutaje wabia wakati umeshajenga?? it doesnt make sense
Uache kusikiliza speech za polepole usikilize za naniii?? Kijana amejaa dhahabu tupuuInashangaza sana kuona wafuasi na wanachama wa upinzani wanafurahia uonevu anaofanyiwa Hamphrey Polepole. Hii yote ni sababu tu alipokuwa mwenezi wa CCM taifa alijenga imani ya CCM kwa wananchi na kusababisha wapinzani wengi kuunga juhudi.
Anakosea nini kukosoa na kusema kweli kuwa Ccm inafanya makosa? Anakosea nini kukosoa juu ya mradi wa JNHP kucheleweshwa bila sababu? Kama kuna harufu za kifisadi juu ya pesa umma, au miradi kama bandari ya Bagamoyo, kuna kosa?
Je, mnadhania watanzania wanaupofu? Hawaoni kuwa Polepole anasimamia wapi?
Watanzania wazalendo wapo pamoja na Polepole.
Sh...Nyambaf zako
Jinga kabisa ww unauhakika au ndo miongoni mwa WahuniHakuna mtanzania yupo na polepole, tena ilibidi apigwe risasi hata tano ili iwe fundisho kwa wapumbabu kama yeye.
Wakati Mawazo ya Lissu yanapigwa risasi 16 ulikuwa hujazaliwa, au ulishangilia?
ACHA UNAFKI.
Kwa upumbavu wenu mnajitokeza mmojammoja na mwisho tutawafahamu nyote mnaohujumu maisha ya wazalendo halisi wa nchi hii.Kwanza huyo kiroboto kacheleweshwa Sana,tumeziba Domo la gwajima sembuse unyoya? Hilo ni onyo tuu
Duh imeisha hio.Naskia wamekuta KY
Mkitufahamu ndio mtatufanya nini? Wazalendo πππππKwa upumbavu wenu mnajitokeza mmojammoja na mwisho tutawafahamu nyote mnaohujumu maisha ya wazalendo halisi wa nchi hii.
Kwanza umemsikia Gwajima jana amesema nini?
Yawa jambo zuri maana mzee Bulembo mwizi wa fedha za jumuiya ya wazazi amejitokeza na anafahamika kuwa ni mwizi mkubwa.Mkitufahamu ndio mtatufanya nini? Wazalendo πππππ
Serikali mpyaππ wazalendo au waporwa tonge π€£π€£..Yawa jambo zuri maana mzee Bulembo mwizi wa fedha za jumuiya ya wazazi amejitokeza na anafahamika kuwa ni mwizi mkubwa.
Serikali mpya baada ya wahuni kuondolewa itawashughulikia ipasavyo hawa wote maana JPM aliwaachia kwa kuwaogopa.
Raisi ajae ambae ni mimi ntasimama kati ya wazalendo na wasaka tonge, au vipi hapo?Serikali mpyaππ wazalendo au waporwa tonge π€£π€£..
Kajipangeni upya nyie viroboto.
Mtu yeyote ni mzalendo wa kweli, anayeipenda Tanzania na Watanzania wenzake, kamwe hawezi kusimama na Polepole, mtu aliyekuwa akishirikiana na Bashite na Sabya kuratibu utekaji, uuaji na upotezaji watu.Inashangaza sana kuona wafuasi na wanachama wa upinzani wanafurahia uonevu anaofanyiwa Hamphrey Polepole. Hii yote ni sababu tu alipokuwa mwenezi wa CCM taifa alijenga imani ya CCM kwa wananchi na kusababisha wapinzani wengi kuunga juhudi.
Anakosea nini kukosoa na kusema kweli kuwa Ccm inafanya makosa? Anakosea nini kukosoa juu ya mradi wa JNHP kucheleweshwa bila sababu? Kama kuna harufu za kifisadi juu ya pesa umma, au miradi kama bandari ya Bagamoyo, kuna kosa?
Je, mnadhania watanzania wanaupofu? Hawaoni kuwa Polepole anasimamia wapi?
Watanzania wazalendo wapo pamoja na Polepole.