Hata mfurahie madhila yaliyompata Polepole, Watanzania wenye nia njema na Taifa hili wapo pamoja nae

Unafurahia Biashara ya binadamu iliyobatizwa jina la kihuni eti "kuunga juhudi?" Juhudi inaungwa na nini? Nani alikuwa na juhudi iliyokatika ikahitaji kuungwa na Wapinzani? Aliyekudanganya CCM walikuwa kitu kimoja wakati wa Magufuli Nani? Unajifanya kipofu? Kwa nini waliompinga ndani ya CCM hawakuunga hizo juhudi?
 
Tulisha onya kule nyuma dhana ya kujenga watu binafsi badala ya kujenga taasisi imara. Malumbano haya nawahakikishia hayatauacha salama. Tujenge taasisi imara tuachane na watu watu wajijenge wenyewe kwa kuonyesha uzalendo. Leo wahuni watamvamia Polepole, kesho Musa, keshokutwa Mstafa.....tutegemee nini hapo kama siyo vurugu.
 
Tumia akili kidogo.
Unaposema wapinzani unamaanisha nini?!
Jiulize kwa nini ameanzisha shule hiyo sasa na sio wakati wa mkuu wake aliyetangulia kwa haki?
Kama anaona hafai huko aende zake upinzani kutamfaa.
Alitenda yote akitegemea utetezi anashindwaje kutulia kwa nafasi aliyo nayo huenda akajapata nyingine.
Utopolo mtupu[emoji58]
 
Polepole hapigani na wapinzani polepole analumbana na CCM. Polepole hayuko mwenyewe kuna kundi kubwa la wanaccm nyuma yake. Bungeni wamejitosheleza kwa wananchi amejitosheleza.
 
JPM asingekufa,angeyasema anayoyasema?huyu anasema kwa sababu amenyanganywa "vii eiti"V8 la ukatibu mwenezi!
Yeye ni fisi kama mafisi wengine ndani ya ccm,kama wanakulana wao kwa wao,wacha wamalizane
 
si Bora yeye.
Kuna wenzie wameuliwa,wametekwa,kufungwa n.k.yeye hata kumgusa hawajamgusa.
angekuwa muongeaji angeongea kipindi Cha MAGUFULI.
Lazma akubali Zama zimebadilika.
ISHI NA WATU VIZURI SPONSA UFARIKI
 
Mlimwekaje fisadi kuwa meneja kampeni wa "mzalendo?"
 
Alichelewa siku 300? Kwahiyo alikufa kabla ya mradi kuanza kutekelezwa? 😂
 
Hakuna mtanzania anayemuunga mkono huyo mpuuzi wako! Labda nyie waburundi na dawa yenu ishachemka, subirini kuinywa tu
 
Kama Polepole anqvamiwa ivyo hali ikoje kwa raia wa kawaida
Kutesa kwa zamu.
Si juzi tu hapo alikuwa anakenua meno wapinzani kuteseka?
Leo Mambo yamebadilika.
MUULIZENI ANAPIGANIA NINI?
 
Polepole is by far genius as compared to the bogus Nape.

Watanzania wengi tunakuunga mkono mheshimiwa Polepole. Endelea kuwapelekea moto.

#kataawahuni
 
Polepole anawaamsha wendawazimu. Hakuna mwenye akili timamu wa kumsha na Polepole. Mikono ya Polepole imajaa damu za Watanzania wasio na hatia, walioteswa, kutekwa na wengine kuuawa.

Damu za watu zinamlilia. Anahangaika, na kamwe hatapata amani.
 
Polepole is by far genius as compared to the bogus Nape.

Watanzania wengi tunakuunga mkono mheshimiwa Polepole. Endelea kuwapelekea moto.

#kataawahuni
huyo ni mpiga kelele tu.
Baada ya kutengwa.
Lazma mkubali MAGUFULI ameshafariki na rais ni Samia
Hizo kelele zake haziwezi kumsaidia kitu akubali matokeo.
Wakati wa MAGUFULI alisifia mpaka akaingizwa CCM.na Kuna watu walikuwa wanapata mateso makubwa .
Ulishawahi kumsikia Pole pole akitetea?
 
Polepole is by far genius as compared to the bogus Nape.

Watanzania wengi tunakuunga mkono mheshimiwa Polepole. Endelea kuwapelekea moto.

#kataawahuni
Wewe sio mtanzania! Wewe ni mburundi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…