Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chuki inaua.Muungeni mkono tu huyo genius wenu wa vieti.Wengine hatupo naye na hatutaki kumsikia.Wakati wa Magufuli kwanini alikaa kimya pale watu walipokuwa wanabambikiwa kesi kwa kuwa walikuwa wanamkosoa.
Kaishia kutukana tena.Nape ndo anabisha ,kashaambiwa kama babaako,mamaako bibi yako alikua CCM na mimi niko humohumo hata km nimeingia jana.
Jibu la kiufundi sana
Inashangaza sana kuona wafuasi na wanachama wa upinzani wanafurahia uonevu anaofanyiwa Hamphrey Polepole. Hii yote ni sababu tu alipokuwa mwenezi wa CCM taifa alijenga imani ya CCM kwa wananchi na kusababisha wapinzani wengi kuunga juhudi.
Anakosea nini kukosoa na kusema kweli kuwa Ccm inafanya makosa? Anakosea nini kukosoa juu ya mradi wa JNHP kucheleweshwa bila sababu? Kama kuna harufu za kifisadi juu ya pesa umma, au miradi kama bandari ya Bagamoyo, kuna kosa?
Je, mnadhania watanzania wanaupofu? Hawaoni kuwa Polepole anasimamia wapi?
Watanzania wazalendo wapo pamoja na Polepole.
Polepole hapigani na wapinzani polepole analumbana na CCM. Polepole hayuko mwenyewe kuna kundi kubwa la wanaccm nyuma yake. Bungeni wamejitosheleza kwa wananchi amejitosheleza.
USITUFOKEE.Inashangaza sana kuona wafuasi na wanachama wa upinzani wanafurahia uonevu anaofanyiwa Hamphrey Polepole. Hii yote ni sababu tu alipokuwa mwenezi wa CCM taifa alijenga imani ya CCM kwa wananchi na kusababisha wapinzani wengi kuunga juhudi.
Anakosea nini kukosoa na kusema kweli kuwa Ccm inafanya makosa? Anakosea nini kukosoa juu ya mradi wa JNHP kucheleweshwa bila sababu? Kama kuna harufu za kifisadi juu ya pesa umma, au miradi kama bandari ya Bagamoyo, kuna kosa?
Je, mnadhania watanzania wanaupofu? Hawaoni kuwa Polepole anasimamia wapi?
Watanzania wazalendo wapo pamoja na Polepole.
Nasubiria Polepole anunue TV mpya niendelee na darsa la shule ya uongozi[emoji51]
Mpaka CHADEMA washasahau nafasi yao, wako na polepole na yanayoendelea CCM
Mtu pekee ambae atakuwa kwenye position ya kuwa na aiba, mentality na akili kama JPM, ndio anapata kura 2025
wabunge chukueni hili, nje ya hapo imekula kwenu
Hii vita sio ya kitoto, ujue, watu wazima wapo nyuma ya jamaa hata ukijiuliza kwa akili timamu mtu hawezi kuongea hivyo peke yake, ila huyo anaandaa mazingira kwanza, kama unajua jeshi la anga hutangulia na ndege hurushws na rubani mmoja lakini njia ikishawekwa linakuja jeshi la ardhini la watu kibao,
Hapo ndo tunapokosea tumuunge mkono ili kuiondoa ccm ya wanafiki.kama huu ubaguzi wa wazi anaousema Bulembo kama familia yako haikuwa sehemu ya uanachama wa ccm unategemea nn sasa.Inashangaza sana kuona wafuasi na wanachama wa upinzani wanafurahia uonevu anaofanyiwa Hamphrey Polepole. Hii yote ni sababu tu alipokuwa mwenezi wa CCM taifa alijenga imani ya CCM kwa wananchi na kusababisha wapinzani wengi kuunga juhudi.
Kwa hakika wewe,jingalao, Magonjwa Mtambuka, na wenzenu komaeni naye tu [emoji16][emoji16].
Wengine wala msituongelee.
Akawa sio hakawa ,endapo polepole anaonewa na ccm au anaona serikali haikizi haja milango iko wazi kwenye mabalozi akashitaki kule watampokea kumsikiliza Kama lisu anavosikilizwa na kufutiwa makesi ,eti sieti etikafie mbele huko hivi mtanzania gani anejitambua hakawa pamoja na pole pole
Labda amefanikiwa kunizidi kwa ufupi/emolo.tabia ya kuchukia waliofanikiwa ni laana ya umasikini.
Labda amefanikiwa kunizidi kwa ufupi/emolo.
Aache kuonewa huruma na mama yake na mkewe nimuonee huruma Mimi 😄😄😄😄😄😄usingeandika kwa uchungu namna ile.
ukimzidi mtu kila idara unakuwa unamuonea huruma sio kumkasirikia.
Wakati yuko juu hakuona kama waliokuwa wanatoa hoja zao za kupinga serikali walikuwa na uhuru wa kutoa maoni. Alisema washughulikiwe na kuwaita majina mabaya hata kuchekelea mbowe na lissu kudhambuliwa.Inashangaza sana kuona wafuasi na wanachama wa upinzani wanafurahia uonevu anaofanyiwa Hamphrey Polepole. Hii yote ni sababu tu alipokuwa mwenezi wa CCM taifa alijenga imani ya CCM kwa wananchi na kusababisha wapinzani wengi kuunga juhudi.