Hata mfurahie madhila yaliyompata Polepole, Watanzania wenye nia njema na Taifa hili wapo pamoja nae

Hata mfurahie madhila yaliyompata Polepole, Watanzania wenye nia njema na Taifa hili wapo pamoja nae

Muungeni mkono tu huyo genius wenu wa vieti.Wengine hatupo naye na hatutaki kumsikia.Wakati wa Magufuli kwanini alikaa kimya pale watu walipokuwa wanabambikiwa kesi kwa kuwa walikuwa wanamkosoa.
Chuki inaua.
 
Nape ndo anabisha ,kashaambiwa kama babaako,mamaako bibi yako alikua CCM na mimi niko humohumo hata km nimeingia jana.
Jibu la kiufundi sana
Kaishia kutukana tena.

Huyu hae akili zake fupi pia
IMG-20211213-WA0051.jpg
 
Huyo mzalendo nan???huyu mzee wa maviete au?????
Inashangaza sana kuona wafuasi na wanachama wa upinzani wanafurahia uonevu anaofanyiwa Hamphrey Polepole. Hii yote ni sababu tu alipokuwa mwenezi wa CCM taifa alijenga imani ya CCM kwa wananchi na kusababisha wapinzani wengi kuunga juhudi.

Anakosea nini kukosoa na kusema kweli kuwa Ccm inafanya makosa? Anakosea nini kukosoa juu ya mradi wa JNHP kucheleweshwa bila sababu? Kama kuna harufu za kifisadi juu ya pesa umma, au miradi kama bandari ya Bagamoyo, kuna kosa?

Je, mnadhania watanzania wanaupofu? Hawaoni kuwa Polepole anasimamia wapi?

Watanzania wazalendo wapo pamoja na Polepole.
 
Hao waliozoea kubebwa na mapolisi????
Polepole hapigani na wapinzani polepole analumbana na CCM. Polepole hayuko mwenyewe kuna kundi kubwa la wanaccm nyuma yake. Bungeni wamejitosheleza kwa wananchi amejitosheleza.
 
Inashangaza sana kuona wafuasi na wanachama wa upinzani wanafurahia uonevu anaofanyiwa Hamphrey Polepole. Hii yote ni sababu tu alipokuwa mwenezi wa CCM taifa alijenga imani ya CCM kwa wananchi na kusababisha wapinzani wengi kuunga juhudi.

Anakosea nini kukosoa na kusema kweli kuwa Ccm inafanya makosa? Anakosea nini kukosoa juu ya mradi wa JNHP kucheleweshwa bila sababu? Kama kuna harufu za kifisadi juu ya pesa umma, au miradi kama bandari ya Bagamoyo, kuna kosa?

Je, mnadhania watanzania wanaupofu? Hawaoni kuwa Polepole anasimamia wapi?

Watanzania wazalendo wapo pamoja na Polepole.
USITUFOKEE.
 
AIBA ndyo nn.we nguchiro????
Mpaka CHADEMA washasahau nafasi yao, wako na polepole na yanayoendelea CCM

Mtu pekee ambae atakuwa kwenye position ya kuwa na aiba, mentality na akili kama JPM, ndio anapata kura 2025

wabunge chukueni hili, nje ya hapo imekula kwenu
 
Hebu taja huyo mzito mmoja tu????unadhn huyo Chakubanga ana ubavu gani nje ya mfumo????
Hii vita sio ya kitoto, ujue, watu wazima wapo nyuma ya jamaa hata ukijiuliza kwa akili timamu mtu hawezi kuongea hivyo peke yake, ila huyo anaandaa mazingira kwanza, kama unajua jeshi la anga hutangulia na ndege hurushws na rubani mmoja lakini njia ikishawekwa linakuja jeshi la ardhini la watu kibao,
 
Inashangaza sana kuona wafuasi na wanachama wa upinzani wanafurahia uonevu anaofanyiwa Hamphrey Polepole. Hii yote ni sababu tu alipokuwa mwenezi wa CCM taifa alijenga imani ya CCM kwa wananchi na kusababisha wapinzani wengi kuunga juhudi.
Hapo ndo tunapokosea tumuunge mkono ili kuiondoa ccm ya wanafiki.kama huu ubaguzi wa wazi anaousema Bulembo kama familia yako haikuwa sehemu ya uanachama wa ccm unategemea nn sasa.
 
nasimama na Mh Polepole na namuombea kwa Mungu amkinge na watu waovu.
 
kafie mbele huko hivi mtanzania gani anejitambua hakawa pamoja na pole pole
 
Acha kupotosha maana ya neno uzalendo kwasababu ya upuuzi wako. Huyo Pole pole ana uzalendo gani nchi hii.Wakati yuko karamuni anakula mema ya nchi hizi kelele zake mbona hatukuzisikia,sana sana alikua anatamka tu majigambo yasiyo na maana.hii nchi ilishapoteza mwelekeo miaka mingi kinachofanyika sasa ni baadhi ya watu kuona wako nje ya ulaji wakati huo wakisahau kua nawao walikua wanakula uku wakikataza wenzao kusema.Wote ni ovyo hakuna ata mmoja wakumnyooshea mwenzake kidole.
 
Mwanzoni sikumuelewa aliposema hawezi kumjibu Polepole.
Kumbe alikuwa ana maana hana uwezo wa kuzijibu hoja za Polepole?
Kashindwa kujibu winch is a very small thing kwa limradi likubwa kama Nyerere Dam.
Kashindwa kumjibu kuwa Bandari za Kufa na Kupona ni Tanga, Dar es Salaam na Mtwara. Bagamoyo sio ya kufa na kupona.
 
kafie mbele huko hivi mtanzania gani anejitambua hakawa pamoja na pole pole
Akawa sio hakawa ,endapo polepole anaonewa na ccm au anaona serikali haikizi haja milango iko wazi kwenye mabalozi akashitaki kule watampokea kumsikiliza Kama lisu anavosikilizwa na kufutiwa makesi ,eti sieti eti
 
usingeandika kwa uchungu namna ile.

ukimzidi mtu kila idara unakuwa unamuonea huruma sio kumkasirikia.
Aache kuonewa huruma na mama yake na mkewe nimuonee huruma Mimi 😄😄😄😄😄😄
 
Inashangaza sana kuona wafuasi na wanachama wa upinzani wanafurahia uonevu anaofanyiwa Hamphrey Polepole. Hii yote ni sababu tu alipokuwa mwenezi wa CCM taifa alijenga imani ya CCM kwa wananchi na kusababisha wapinzani wengi kuunga juhudi.

Anakosea nini kukosoa na kusema kweli kuwa Ccm inafanya makosa? Anakosea nini kukosoa juu ya mradi wa JNHP kucheleweshwa bila sababu? Kama kuna harufu za kifisadi juu ya pesa umma, au miradi kama bandari ya Bagamoyo, kuna kosa?

Je, mnadhania watanzania wanaupofu? Hawaoni kuwa Polepole anasimamia wapi?

Watanzania wazalendo wapo pamoja na Polepole.
Wakati yuko juu hakuona kama waliokuwa wanatoa hoja zao za kupinga serikali walikuwa na uhuru wa kutoa maoni. Alisema washughulikiwe na kuwaita majina mabaya hata kuchekelea mbowe na lissu kudhambuliwa.
Alisahau maisha ni gwaride. Hili ni funzo kuwa ukiwa top pigania haki kwa kila mtu maana kesho unaweza kuwa unalalamikia kile ulichokipitisha wakati umeshika mpini
 
Back
Top Bottom