The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
yeye ndicho anachokitaka, lakini anataka mpaka amuumize kama yeye alivyoumia.
hao wachumba watakuwa wamekata tamaa ya maisha....
hizo mbegu zitazalisha kituko...khaa
kuna watu huko uraiani hawajli na wanafurahia biashara huria yenye ushindani wa kutosha. Kwa kweli ukiondoa ushindani biashara inapoteza mvuto kabisa hata bidhaa zinaweza kudoda wakati walaji wako kibao.
kasema leo anarudi kwake.
kasema leo anarudi kwake.
Afadhari nyie wapambe mnataka kutia kitumbua mchanga mshindwe na mlegee
kaka mie jana nilishindwa kuweka hilo jambo sawa, mana ningelibeba mie kama ninavyobebaga ya watu wengine(wakomavu) au yangu mwenyewe kwa maswali ningeyomhoji huyo mdogo wangu juu wa safari ya mumewe nadhani hii ndoa ingezidi kuyumba na bado changa, so hapa cha kufanya ni kwenda na mdada pole pole, bado 2napenda awepo kwenye ndoa yake ukizingatia ina miezi tu, hata dadake tumeongea kiutu uzima tukasema tumshawishi tu hii leo arudi kwake mana tutamchanganyia mambo kama cc wakomavu tukilishikia bango hili jambo tutaharibu (mana kwa wakomavu hii ni rough ya mchana kweupe)...yeye tutaishia kumpa moyo na kumtuliza apoe....na kama ilivyo mume kashikia bango kwamba na yeye "anashangaa" bac ngoja tujifanye tunashangaa wote kumpa moyo mdogo wetu.
dah Mrs hata mi namshangaa huyo bwana sio kwa ku do ze nidiful, ila kwa kuwa mzembe kiasi hicho....in fact hajafuzu kozi ya infidelity
but nimeipenda busara yako hapo kuokoa mambo yasizame na sio kuwa jiwe la kusagia
kisha wakisharudiana aladji kama kawa.....kudungkudkudkudkudkud....:welcome:
Mpwa mimi bado naendelea na kozi ili nimalize vizuri na nipate cheti changu halafu ndio nianze kuitumikia vizuri ile katiba kumbuka mwalimu wangu ni Asprin
Mpwa huyu mwanamke atakubali kweli hata mumewe amguse usiku maana dhamira iliyo kwenye moyo wa mwanamke siipatii picha
hizi ndoa bwana nazo zinachosha, mtu unaingia tu ili mradi umeingia, cjui ndio wanasema kutoa mkoc wala cjui, mie kwa kweli imebidi niache ishu waiongelee kifamilia zaidi coz kama binti hata mama yake mzazi kamwomba mpaka kumpigia magoti acjrfanya hicho kitendo na hajakubali kubadili uamuzi wake nani mwingine atamshauri akashaurika?...na kwasasa coz hiyo kitu ipo kichwani mwake anaweza kutuitikia kwamba hatafanya lakini nani anajua rohoni mwake?....ki ujumla hii ndoa imeshavunjika tayari.
kaka yangu mpenzi, mie kwa kweli cwezi kudhibitisha lolote, cna kidhibiti mana mie nafanya kupigiwa na kupewa yanayojiri huko...na cwezi kusema labda mume ni kweli kafany ila kadanganya au hajafanya binti anamfikiria vibaya, naweza sema ukweli anao mume.
jana tumejaribu kuweka mambo sawa, binti alikuwa analia sana amesema mume amemuumiza roho sana, na hakutegema kama angeona ndoa chungu mapema hivi, lakini anashukuru pia ndoa ilikuwa bado haijajibu coz anataka na yeye kumuumiza kama alivyoniumiza, hata miaka 20 ijayo akija kugundua nitamkumbushia alivyoniumiza na nitamwambia ndio adhabu yake kwa kitendo cha kuniumiza hivi....maamuzi yangu ni kwamba "atalea watoto wa wanaume wenzie"....akija kujua mbeleni bac na mie nitakuwa nimempa maumivu yanayostahili na kuivunja ndoa milele...mie nimechoka kama nyamayao....anarudi kwake leo..