GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Kidukulu in da house
Wanapingana na spika?
' Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer '
Ngoja waje wenye hoja yao
Hivi kumbe ?Kidukulu in da house
UnajidanganyaIssue iko namna hii .urais ni taasisi naamini nyerere,mzee mwinyi,mkapa,kikwete,magufuli,viongozi wa dini na wakiserikali, ndio wanaunda iyo taasisi,hivyo kutokua madarakani hakuzuii kuongoza nchi,ndio maana tunawaenzi wote waliopita kwakuwa bado wanaendelea kuongoza,hata Leo hii nyerere anaongoza nchi hii japo kimwili hayupo
Huyu hatakubali sawa, lakibi tutamlazimisha, na Hana choice ktk hili! Sisi ndio tunaamua siyo yy!
Ndio ni yeye😫😫😫Hivi kumbe ?
Kwa Nini unatamka unafiki? Hapa ni Tz kwanza, urusi wanalijua Hilo na China wanalijua Hilo pia! We unamaanisha hulijui kweli!?Kumbe Wanafiki wa hili Sakata bado mpo wengi tu ndani ya CCM hii ya 2015 hadi 2025?