Hata mkague mabegi hamtakuta tena ARV’s, kuna sindano siku hizi

Hata mkague mabegi hamtakuta tena ARV’s, kuna sindano siku hizi

Kayanga, Omurushaka, Nkwenda, Kyerwa Mpaka Border Mulongo Unaingia Uganda Unapata Huduma Unarudi Home Haraka
Du umenikumbusha Mulongo, nilishiriki kujenga daraja la Mulongo kuvuka kwenda Uganda enzi izo mwaka 2000 Kama sijasahau
 
duh huu uzi umenikumbusha wikendi chache zilizopita kuna jamaa yangu alichukua kichenchede sasa kabla ya mambo jamaa akatoa vipimo wapime kwanza. dem akataka kutia mgomo bdae kakubali kishingo upande wakapima ebwanee kifuatacho sasa kinasikitisha...
 
hapana sio vyote mimi kuna mshaji wangu namfahamu yeye anameza mara moja kwa mwezi na jamaa amejiweka wazi hafichi hali yake ya maambukizi
kiongoz km ni wew au ni uyo jamaa yako km unavodai acheni uo mchezo. ujue cd4 zikipungua kuna fangasi wanajitokeza kwenye ubongo unapata uchizi kabisa na ukifika apo mzee ndo nitolee
 
Maendeleo ya tiba ni kuwa unaweza kuchomwa sindano itakayo dhibiti wadudu humo mwilini na huhitaji kubugia yale madonge kila siku.

Taarifa hii imetolewa rasmi siku ya lile gonjwa 01/12/ ya kila mwaka. Maendeleo haya yako kule wanakotutumia ARV’s kwa msaada.

Ndyo wamefika huko nyie c mnapenda kusaidiwa endeleeni
 
Marekebisho kdgo: ilifanya hata tunda nisiliwe kwa Uhuru.
Hivi kiusahihi Mwanaume na Mwanamke ni yupi humla mwenzie? Maana nikiwaza mdomo ndiyo hula Ndizi na siyo kinyume chake.

Sasa ni kwanini kwenye hili tendo husemwa kinyume chake?
 
Hivi kiusahihi Mwanaume na Mwanamke ni yupi humla mwenzie? Maana nikiwaza mdomo ndiyo hula Ndizi na siyo kinyume chake.

Sasa ni kwanini kwenye hili tendo husemwa kinyume chake?
Mmmh!!!!??
 
Nikiwa sebleni kwa shemeji yangu na king'amuzi ameshakilipia huku na subiri dada apike ugali na nyama nile..Kwa hiyo mkuu unatushauri nini sisi tunaopenda magoma yenye matako makubwa na hatupendi kuvaa Condom ili tusikie utamu
Shemeji yako amelipia king'amuzi gani hicho? Kwa muda gani? Hongera kwa kupata Mkuu.
 
Kayanga, Omurushaka, Nkwenda, Kyerwa Mpaka Border Mulongo Unaingia Uganda Unapata Huduma Unarudi Home Haraka
Mkuu salimia huko Kayanga opposite CRDB kunaka min supermarket na grocery....hapo hapo gwaride lilipita..
 
Back
Top Bottom