DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Inashangaza kipindi ambacho taifa linapambana kuhakikisha tunawapatia Watanzania ukombozi wa kweli ndiyo mara ghafla wale jamaa wa kusifu na kuabudu au kwa jina maarufu wakiitwa Thug au S.Gang wakijitahidi kupenyeza ajenda zao mfu na mufulisi katika taifa letu teule.
Niwaambie tu, huu muda nenda mkafanye toba na mtoe sadaka ya shukurani kwa Mungu kuendelea kuwapa neema ya uhai, siyo kwa bahati bali mtubu na muungame juu ya dhambi zenu mlizowafanyia Watanzania kwa kuwapa watu; umasikini, vifungo, vifo, kuwafilisi haki zao na mali, watu kupigwa risasi bila kosa, kuteka watu n.k.
Na niwaambie tu ukweli nyie S.Gang, giza haliwezi kushinda nuru!
Nawatakia Jumapili njema.