nimeshafanya sana huo ujinga, sadaka nimetoa kidogo lakini uchi nimenunua kwa hela ndefu. inaniuma hadi huwa naona aibu kwa Mungu anayeniona sirini aisee.Demu Anakaa Sinza Mi Nakaa Kigogo
Uswahilini..Namuomba Tuje Tupige Kwichi
Kwichi...Hapo hapo Nae Ananigeuza Mtaji....
Nitumie Nauli Ya Kuja Daladala Zimeisha Huku...
Shingapi???
Tuma 30,000 Nimeishaita Usafiri... Yani Sinza Mpaka Kigogo Nauli Elfu 30,000 Kwani
Unakuja Na Fastjet?? Au Bajaji Yako Inatumia Uzima
Wa Milele...SHENZI..Hiyo elfu 30,000 Nitamnunualia
Babangu Nguo Atanibariki Kishenzi...Sadaka natoa
buku...Uchi ninunue kwa 30,000..si kujitakia laana
huku
Usiposhtuka Watakuchuna Hadi Uzeeke...nimeshafanya sana huo ujinga, sadaka nimetoa kidogo lakini uchi nimenunua kwa hela ndefu. inaniuma hadi huwa naona aibu kwa Mungu anayeniona sirini aisee.
Umemaliza, maana kila siku ana jipya.Haya mapenzi naona yanakuzingua sana nakushauri uachane nayo na ufanye mambo mengine
Watu wanalipiwa fly emirates tena first class na ni papuchi sasa wewe elfu 30 unaifanyia promo?Hiki nnachokiongelea kinawakuta watu wengi sana, alafu nyinyi ndio wahusika....
Yani ni shidaaaaaUmemaliza, maana kila siku ana jipya.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Bajaji yako inatumia uzima wa mileleDemu Anakaa Sinza Mi Nakaa Kigogo
Uswahilini..Namuomba Tuje Tupige Kwichi
Kwichi...Hapo hapo Nae Ananigeuza Mtaji....
Nitumie Nauli Ya Kuja Daladala Zimeisha Huku...
Shingapi???
Tuma 30,000 Nimeishaita Usafiri... Yani Sinza Mpaka Kigogo Nauli Elfu 30,000 Kwani
Unakuja Na Fastjet?? Au Bajaji Yako Inatumia Uzima
Wa Milele...SHENZI..Hiyo elfu 30,000 Nitamnunualia
Babangu Nguo Atanibariki Kishenzi...Sadaka natoa
buku...Uchi ninunue kwa 30,000..si kujitakia laana
huku
Mkuu ila inauma sana vitu vingine ndio maana tunakosa barakanimeshafanya sana huo ujinga, sadaka nimetoa kidogo lakini uchi nimenunua kwa hela ndefu. inaniuma hadi huwa naona aibu kwa Mungu anayeniona sirini aisee.