Hata Mkiniona Bwege, Lakini Haitokaa Itokee Nifanye Huu Ujinga..!!

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Demu Anakaa Sinza Mi Nakaa Kigogo
Uswahilini..Namuomba Tuje Tupige Kwichi
Kwichi...Hapo hapo Nae Ananigeuza Mtaji....
Nitumie Nauli Ya Kuja Daladala Zimeisha Huku...
Shingapi???
Tuma 30,000 Nimeishaita Usafiri... Yani Sinza Mpaka Kigogo Nauli Elfu 30,000 Kwani
Unakuja Na Fastjet?? Au Bajaji Yako Inatumia Uzima
Wa Milele...SHENZI..Hiyo elfu 30,000 Nitamnunualia
Babangu Nguo Atanibariki Kishenzi...Sadaka natoa
buku...Uchi ninunue kwa 30,000..si kujitakia laana
huku
 
Akikwambia nitumie nauli we mwambie mie nakuja hapo ulipo alafu usikie atasemaje
 
Yani unamaanisha utakwenda kumgegeda mtaani kwao au?
 
Haya mapenzi naona yanakuzingua sana nakushauri uachane nayo na ufanye mambo mengine
Hiki nnachokiongelea kinawakuta watu wengi sana, alafu nyinyi ndio wahusika....
 
Demu Anakaa Sinza Mi Nakaa Kigogo
Uswahilini..Namuomba Tuje Tupige Kwichi
Kwichi...Hapo hapo Nae Ananigeuza Mtaji....
Nitumie Nauli Ya Kuja Daladala Zimeisha Huku...
Shingapi???
Tuma 30,000 Nimeishaita Usafiri... Yani Sinza Mpaka Kigogo Nauli Elfu 30,000 Kwani
Unakuja Na Fastjet?? Au Bajaji Yako Inatumia Uzima
Wa Milele...SHENZI..Hiyo elfu 30,000 Nitamnunualia
Babangu Nguo Atanibariki Kishenzi...Sadaka natoa
buku...Uchi ninunue kwa 30,000..si kujitakia laana
huku
nimeshafanya sana huo ujinga, sadaka nimetoa kidogo lakini uchi nimenunua kwa hela ndefu. inaniuma hadi huwa naona aibu kwa Mungu anayeniona sirini aisee.
 
Usiposhtuka Watakuchuna Hadi Uzeeke...
Pole sana asee nadhani sasaivi umesha-janjaruka
 
Demu Anakaa Sinza Mi Nakaa Kigogo
Uswahilini..Namuomba Tuje Tupige Kwichi
Kwichi...Hapo hapo Nae Ananigeuza Mtaji....
Nitumie Nauli Ya Kuja Daladala Zimeisha Huku...
Shingapi???
Tuma 30,000 Nimeishaita Usafiri... Yani Sinza Mpaka Kigogo Nauli Elfu 30,000 Kwani
Unakuja Na Fastjet?? Au Bajaji Yako Inatumia Uzima
Wa Milele...SHENZI..Hiyo elfu 30,000 Nitamnunualia
Babangu Nguo Atanibariki Kishenzi...Sadaka natoa
buku...Uchi ninunue kwa 30,000..si kujitakia laana
huku
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Bajaji yako inatumia uzima wa milele
 
Alikuwa mbeya nini
30000 ndani ya jiji alafu akiondoka anahtajj akupge kiznga cha 50,000
 
nimeshafanya sana huo ujinga, sadaka nimetoa kidogo lakini uchi nimenunua kwa hela ndefu. inaniuma hadi huwa naona aibu kwa Mungu anayeniona sirini aisee.
Mkuu ila inauma sana vitu vingine ndio maana tunakosa baraka

kanisani tunatafuta buku mapemaaa tunaweza mfuko wa shati yaani. Mungu anisamehe kwa hili maana nimelifanya sana
 
Tuache kulalamika sana jamani, hivi huyo mwanamke alikutongoza yeye au wewe ndo ulijipeleka jombaa?kwani huko kigogo hakuna hao wanawake?Nakushauri tafuta wa saizi yako hao wa sinza achia kina papaa wewe kula dagaa
 
Back
Top Bottom