Hata Mkiniona Bwege, Lakini Haitokaa Itokee Nifanye Huu Ujinga..!!

Hahahaha Tangu ugundue njia mpya ya kunywa bia basi hushikiki mkuu
nimegundua watu wanaolalamika kuhusu mapenzi wana upungufu wa bia mwilini.. kunywa bia mkuu [emoji481] [emoji481] [emoji481]
 
Demu akijua utampa hela baada ya mechi anajua kupetipeti na utainjoy game. Hata siku nyingine ukimpigia simu tu hakatai hata km yupo bize atakuambia subiri subiri nijiandae nakuja.
 
Kwahivyo......
Hiyo 30 elfu, kwako ni pesa nyingi sana...[emoji5] [emoji5]
Nauliza tu mkuu,
Usiniponde mawe,
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ushimen Kwasiku mimi nashindia jero tu, maisha magumu kaka, mzee wa msoga kasepa na mapene yake
 
nimegundua watu wanaolalamika kuhusu mapenzi wana upungufu wa bia mwilini.. kunywa bia mkuu [emoji481] [emoji481] [emoji481]
Hahaha...vip bro ulimpatia mtoto mshahara au ilikuwa akili ya pombe.
 
We bwege kweli 30 000 ndio waja kulalamika jf,usitutie aibu waume wenzako,hiyo tuna tigopesa ya vocha tu
 
Daah nami ilinitokea hiyo demu ile namtongoza tu kabla hajanibu ananambia eti anahitaji 15000 baba yake anaummwa
 
hahahh, mwisho wa mwezi bado mkuu.. tunafanya mambo aste aste.
Ah ah...lilishatema saa 7 mchana. Labda kada yako ila mambo nimazuri. Pitia hapo CRDB shemeji leo akacheke
 
Ah ah...lilishatema saa 7 mchana. Labda kada yako ila mambo nimazuri. Pitia hapo CRDB shemeji leo akacheke
hio mpaka kesho mkuu leo ni sikukuu ya bia duniani sina budi kusherekea, karibu bia [emoji481] [emoji481] [emoji481]
 
hio mpaka kesho mkuu leo ni sikukuu ya bia duniani sina budi kusherekea, karibu bia [emoji481] [emoji481] [emoji481]
Haha..ahsante aseeh. Mwenyewe naelekea bar ya jirani hapa...kama bado upo ya tatu nitakukuta....
 
Daah nami ilinitokea hiyo demu ile namtongoza tu kabla hajanibu ananambia eti anahitaji 15000 baba yake anaummwa
Hahaha... Mi kuna mmoja ndo siku ya kwanza nakutana nae alinambia kama nampenda nimnunulie nguo za sikukuu hahhaha
 
Demu akijua utampa hela baada ya mechi anajua kupetipeti na utainjoy game. Hata siku nyingine ukimpigia simu tu hakatai hata km yupo bize atakuambia subiri subiri nijiandae nakuja.
Hahaha ilihali nimeshapiga mzigo mara ya kwanza,
hata akatae kuja mi sina habari
 
Starehe Gharama na pesa matumizi ila kipindi hiki cha Magufuli ukipoteza pesa Jutia maana haina replacement
 
Starehe Gharama na pesa matumizi ila kipindi hiki cha Magufuli ukipoteza pesa Jutia maana haina replacement
Hahaha kweli kabisa mkuu,
Skuizi ubahili ni jambo la kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…