Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Haha..mwambie shem akuje tuile woteAisee agiza miguu ya kuku ya jero nakuja kulipa... Hahhaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha..mwambie shem akuje tuile woteAisee agiza miguu ya kuku ya jero nakuja kulipa... Hahhaha
nimegundua watu wanaolalamika kuhusu mapenzi wana upungufu wa bia mwilini.. kunywa bia mkuu [emoji481] [emoji481] [emoji481]Hahahaha Tangu ugundue njia mpya ya kunywa bia basi hushikiki mkuu
Hahaha...vip bro ulimpatia mtoto mshahara au ilikuwa akili ya pombe.nimegundua watu wanaolalamika kuhusu mapenzi wana upungufu wa bia mwilini.. kunywa bia mkuu [emoji481] [emoji481] [emoji481]
hahahh, mwisho wa mwezi bado mkuu.. tunafanya mambo aste aste.Hahaha...vip bro ulimpatia mtoto mshahara au ilikuwa akili ya pombe.
Ah ah...lilishatema saa 7 mchana. Labda kada yako ila mambo nimazuri. Pitia hapo CRDB shemeji leo akachekehahahh, mwisho wa mwezi bado mkuu.. tunafanya mambo aste aste.
hio mpaka kesho mkuu leo ni sikukuu ya bia duniani sina budi kusherekea, karibu bia [emoji481] [emoji481] [emoji481]Ah ah...lilishatema saa 7 mchana. Labda kada yako ila mambo nimazuri. Pitia hapo CRDB shemeji leo akacheke
Haha..ahsante aseeh. Mwenyewe naelekea bar ya jirani hapa...kama bado upo ya tatu nitakukuta....hio mpaka kesho mkuu leo ni sikukuu ya bia duniani sina budi kusherekea, karibu bia [emoji481] [emoji481] [emoji481]
Utakula bonge moja la msonyo na papuchi ukoseAkikwambia nitumie nauli we mwambie mie nakuja hapo ulipo alafu usikie atasemaje
ha ha ha, basi sawa.Haha..ahsante aseeh. Mwenyewe naelekea bar ya jirani hapa...kama bado upo ya tatu nitakukuta....
Hahaha ilihali nimeshapiga mzigo mara ya kwanza,Demu akijua utampa hela baada ya mechi anajua kupetipeti na utainjoy game. Hata siku nyingine ukimpigia simu tu hakatai hata km yupo bize atakuambia subiri subiri nijiandae nakuja.
Saana tu.Watu wanalipiwa fly emirates tena first class na ni papuchi sasa wewe elfu 30 unaifanyia promo?