Hata Msigwa alianza kwa vitisho kwamba Mbowe lazima aondoke uenyekiti Chadema, baadae akaenda kumuona Lissu Singida, kisha akaenda CCM

Hata Msigwa alianza kwa vitisho kwamba Mbowe lazima aondoke uenyekiti Chadema, baadae akaenda kumuona Lissu Singida, kisha akaenda CCM

Binafsi Mimi natoka kasikazini but ukweli huyu jamaa inatosha

Utaona aking'ang'ania by 2025 Kama kitapata hata mbunge mmoja uje uniue

Chama kinaongesha kila Dali za kuanguka kinahitaji mabadiliko ya kweli !!
Chama kingekua kinakaribia kuanguka, chaguzi zisingefanyiwa hujuma/wizi
 
Back
Top Bottom