Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Ebu tutupie comment ya Erythrocyte akipongeza uamuzi wa Lissu kugombea uwenyekiti wa Chadema.Naona CCM mnavyoteseka Baada ya Lisu kuonyesha nia ya kuwania Uenyekiti CDM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ebu tutupie comment ya Erythrocyte akipongeza uamuzi wa Lissu kugombea uwenyekiti wa Chadema.Naona CCM mnavyoteseka Baada ya Lisu kuonyesha nia ya kuwania Uenyekiti CDM
Chama kingekua kinakaribia kuanguka, chaguzi zisingefanyiwa hujuma/wiziBinafsi Mimi natoka kasikazini but ukweli huyu jamaa inatosha
Utaona aking'ang'ania by 2025 Kama kitapata hata mbunge mmoja uje uniue
Chama kinaongesha kila Dali za kuanguka kinahitaji mabadiliko ya kweli !!