M Mtoto wa Shule JF-Expert Member Joined Nov 16, 2014 Posts 15,133 Reaction score 11,914 Dec 12, 2024 #21 chakii said: Naona CCM mnavyoteseka Baada ya Lisu kuonyesha nia ya kuwania Uenyekiti CDM Click to expand... Ebu tutupie comment ya Erythrocyte akipongeza uamuzi wa Lissu kugombea uwenyekiti wa Chadema.
chakii said: Naona CCM mnavyoteseka Baada ya Lisu kuonyesha nia ya kuwania Uenyekiti CDM Click to expand... Ebu tutupie comment ya Erythrocyte akipongeza uamuzi wa Lissu kugombea uwenyekiti wa Chadema.
Lax JF-Expert Member Joined Feb 10, 2022 Posts 4,740 Reaction score 7,179 Dec 12, 2024 #22 technically said: Binafsi Mimi natoka kasikazini but ukweli huyu jamaa inatosha Utaona aking'ang'ania by 2025 Kama kitapata hata mbunge mmoja uje uniue Chama kinaongesha kila Dali za kuanguka kinahitaji mabadiliko ya kweli !! Click to expand... Chama kingekua kinakaribia kuanguka, chaguzi zisingefanyiwa hujuma/wizi
technically said: Binafsi Mimi natoka kasikazini but ukweli huyu jamaa inatosha Utaona aking'ang'ania by 2025 Kama kitapata hata mbunge mmoja uje uniue Chama kinaongesha kila Dali za kuanguka kinahitaji mabadiliko ya kweli !! Click to expand... Chama kingekua kinakaribia kuanguka, chaguzi zisingefanyiwa hujuma/wizi