mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
Kweli kabisa.Mimi na amini, kwenye maandiko:-
Maandiko yanasema, aonavyo nafsini mwake basi ndivyo alivyo.
Haya mambo ya kujugde appearance ya mtu na kucome out with a conclusion niya-middle mind people.
MshambaAnavovaa kishetani kama kanumba kwenye ile movie yake ya illuminati
Hahaha kwani kuvaa gloves na kujichubua kuna shida gani?Halafu anajichubua, si uliona alikuwa anaficha mikono kwa gloves?
aaaah!!! shekh,,,MSENGE akitembea,TEMBEA yake inajionesha kabisa man,alafu anakuwa kalegea kama m2 mwenye DEGEDEGE!!,,,alaf kwa nini avae KINJUGA ji2 zima!!!????Hizi kauli za kumuangalia mtu na kusema hata muonekano wake tu unaonyesha yule ni kahaba, mdangaji, mwizi shoga, muuaji, ana roho mbaya n.k ni kauli za hovyo sana. Yani mtu anaweza kumuangalia tu mwanamke amevaa mini skirt, ana tatoo mkononi au shingoni, kichwani ana bleach na mguuni ana kikuku akajiamulia tu huyu ni kahaba, anajiuza, malaya au malaya mzoefu.
Mtu anaweza kumuangalia tu mwanaume jinsi anavyotembea, kuongea au amevaa kinjuga kimebana unasikia anasema "huyu kasha left group", "lile papai" au ni shoga
Mtu anaweza kukamatwa na polisi na kwa sababu polisi wamejijengea utamaduni wa ku parade kila aina ya watuhumiwa mbele ya vyombo vya habari unasikia mtu anasema "kwa kumuangalia tu sura" yake yule atakuwa kweli muuaji, kahaba, ana roho mbaya n.k
Mtu anaangalia tu kichwa cha mtu anasema kwa kuangalia tu kichwa chake atakuwa hana akili! Hivi kuweli muundo wa kichwa cha mtu unaweza kukujulisha kama anazo au hana akili??
Hizi na kauli nyingine za aina hii ni kauli za hovyo sana zinazotumiwa na watu wapumbavu zaidi.
Mwanamke amevaa mini skirt, ana tatoo mkononi au shingoni, kichwani ana bleach na mguuni ana kikuku akajiamulia tu huyu ni kahaba, anajiuza, malaya au malaya mzoefu.
Hiki Cha pombe kama cha JohnHadi sisi wenye vipara tumeanza kutengwa kwenye magroup
View attachment 3074018
Ujengewe sanamu.Kabla ya Ruler n macho yaligundua mstari umepinda
What is "natural human instinct" ?Hiyo ni natural human instinct developed over tens of centuries for safety measurements. Inasemekana inachukua kati ya 10 to 30 seconds kujudge mtu na kuja na conclusion yeye ni wa aina gani. Kama ni threat au ni ally.