"Hata muonekano wake tu unaonyesha", "hata sura yake..." ni kauli za hovyo sana zilizoshika mizizi.

"Hata muonekano wake tu unaonyesha", "hata sura yake..." ni kauli za hovyo sana zilizoshika mizizi.

Mimi na amini, kwenye maandiko:-
Maandiko yanasema, aonavyo nafsini mwake basi ndivyo alivyo.
Haya mambo ya kujugde appearance ya mtu na kucome out with a conclusion niya-middle mind people.
Kweli kabisa.

Na hata kama appearance inaendana na tabia zake,

Bado huwezi kosa kitu cha maana kutoka kwake.

People have layers.
 
Hizi kauli za kumuangalia mtu na kusema hata muonekano wake tu unaonyesha yule ni kahaba, mdangaji, mwizi shoga, muuaji, ana roho mbaya n.k ni kauli za hovyo sana. Yani mtu anaweza kumuangalia tu mwanamke amevaa mini skirt, ana tatoo mkononi au shingoni, kichwani ana bleach na mguuni ana kikuku akajiamulia tu huyu ni kahaba, anajiuza, malaya au malaya mzoefu.

Mtu anaweza kumuangalia tu mwanaume jinsi anavyotembea, kuongea au amevaa kinjuga kimebana unasikia anasema "huyu kasha left group", "lile papai" au ni shoga

Mtu anaweza kukamatwa na polisi na kwa sababu polisi wamejijengea utamaduni wa ku parade kila aina ya watuhumiwa mbele ya vyombo vya habari unasikia mtu anasema "kwa kumuangalia tu sura" yake yule atakuwa kweli muuaji, kahaba, ana roho mbaya n.k

Mtu anaangalia tu kichwa cha mtu anasema kwa kuangalia tu kichwa chake atakuwa hana akili! Hivi kuweli muundo wa kichwa cha mtu unaweza kukujulisha kama anazo au hana akili??

Hizi na kauli nyingine za aina hii ni kauli za hovyo sana zinazotumiwa na watu wapumbavu zaidi.
aaaah!!! shekh,,,MSENGE akitembea,TEMBEA yake inajionesha kabisa man,alafu anakuwa kalegea kama m2 mwenye DEGEDEGE!!,,,alaf kwa nini avae KINJUGA ji2 zima!!!????
 
Muonekano wako tu , Unaonekana una Hasira sana 😁😁😁
 
Mwanamke amevaa mini skirt, ana tatoo mkononi au shingoni, kichwani ana bleach na mguuni ana kikuku akajiamulia tu huyu ni kahaba, anajiuza, malaya au malaya mzoefu.

I don't condone being judgemental ila pisi za hivi uvae Ndom mbili tena kama anavuta na shisha vaa tatu.
 
Huyo Arapisii nilikua namuona muungwana ila kumbe yai...
 
Hiyo ni natural human instinct developed over tens of centuries for safety measurements. Inasemekana inachukua kati ya 10 to 30 seconds kujudge mtu na kuja na conclusion yeye ni wa aina gani. Kama ni threat au ni ally. Wanaita first impression. Hii ni muhimu sana unapoenda kuaproach mtoto kali.

Ubongo wa binadamu ni very complicated kiasi hata wenyewe umeshindwa kufumbua hilo fumbo. Na kama ubongo umeweka hiyo instinct, then bila shaka ni for a very good reason.

Na kiuhalisia hili jambo ukiliangalia kwa makini utagundua ni kweli. Sababu simply akili na tabia za binadamu zinakuwa easily manifested in reality. It's inevitable. It's just common sense. Mara chache sana kwa hilo kutotokea. Na ikitokea basi huyo mtu atakuwa anajua anachokifanya, means there's no way atataka kuwa judged negatively. Hawa mara nyingi huwa psychopaths na sociopaths.

Kwa maana nyingine significant na extreme negative first impressions mara nyingi huwa sahihi.

That's why ni simple sana kusoma akili na uhalisia wa mtu hata kwa jinsi anavyoandika na posts zake.

Na inakuwa rahisi zaidi kimuonekano. Kwa mfano kama wewe ni Mtoto wa kiume uliyezaliwa Tanzania na unapita mitaani umevaa bukta fupi imebana mapaja kama boxer. Then tayari najua wewe ni mtu wa aina gani.

Kwa asilimia 94% nitakuwa na uhakika una akili ndogo yenye uwezo mdogo wa kuchakata mambo japokuwa umefika chuo. Hujitambui wala hujiheshimu. Mostly unashinda Instagram kufuatilia maisha ya watu na unafuata mkumbo. Una maono distorted juu ya maisha na hiyo ni kwa sababu kwenu wana pesa ya kukulisha na unaishi au uliishi maisha rahisi na bila shaka wazazi wako walikudekeza kama sio hivyo basi ulikosa strong male role model nyumbani. Means umelelewa na single mother bila ya baba. Uko soft physically na mentally na unapenda maisha mazuri na rahisi na vitu vikubwa bila kuhangaika. Na bila shaka ni easy kuwa manipulated na hauna misimamo kama mwanaume wala hujui nafasi yako kwenye jamii wala hujui unachokitaka. And yes, almost forgot. Kwenye kuwa na maono distorted ya maisha na uhalisia kuna uwezekano wa asilimia 60% utakuwa ni fala.

Ukiangalia kwa makini hivyo vitu vyote nilivyomention vinategemeana kwa asilimia 90% to 98%. Na kuna uwezekano wa asilimia 94% nipo sahihi. Hata wewe naweza kusoma post zako chache na nikaja na conclusion sahihi kwa asilimia 87% to 94% utakuwa ni mtu wa aina gani.

You see? Binadamu alivyo nje ni matokeo ya tabia na akili zake zilivyo ndani.
 
Hiyo ni natural human instinct developed over tens of centuries for safety measurements. Inasemekana inachukua kati ya 10 to 30 seconds kujudge mtu na kuja na conclusion yeye ni wa aina gani. Kama ni threat au ni ally.
What is "natural human instinct" ?
Mwanaume kuvaa kibukta/kinjuga na kuacha mapaja nje inahusianaje na human instinct? Inahusiana vipi na yeye kuwa threat au ally?
 
Personality ni kitu muhimu sana, unaweza kukosa au kupata vitu Fulani kwasababu jinsi ulivyo au unavyoonekana, huu ni Ukweli wa Karne na Karne...hivyo basi kama huna excuse ni vizuri kuwa na personality iliyonyooka.
 
Chakula kama kimezidi chumvi Mkuu kinajulikana kabisa huwezi kukuta mchungaji /shekhe/,padre wamejichoresha tattoo za majoka .....msichana mwadilifu hata mavazi yanasadifu yaliyomo yamo ndio
 
Back
Top Bottom