Hata sijamtongoza

Sasa unashindwa nini kumwambia kuwa huna pesa na zaidi una mke? Utakuja kujiweka kwenye matatizo yasiyokuwa na msingi.
tatizo lenu wengine hamsomi mada mkailewa mnadandia gar kwa mbele ukigongwa utamlaum nan
 
kama umesoma nae ana kigezo cha kukupiga vibomu na kuhusu nanilihii muonjeshee kama hutaki nipe namba yake huku atakusimulia magoli
mwekundu, nlikuwa naisaka comment yako na nilipanga niandike hivii

Mpe namba ya huyo demu jamaa yangu anaitwa mwekundu
 
Last edited by a moderator:
tatizo lenu wengine hamsomi mada mkailewa mnadandia gar kwa mbele ukigongwa utamlaum nan

Na wewe ndio husomi na kuelewa unachoshauriwa, unadandia treni kwa mbele....
 
tatizo sio kuchunwa hata ww ukiwa nashida naweza kukusaidia,tabia yangu mm huwa nafata moyo wangu ukimpenda girl simuachi lazima nigonge papuch kwa garama yeyote ndivyo nilivyo bt kama sijakupenda nakuona kama kichefuchefu

Na kichefu chefu kitakushika sana, lamba ndimu...
 
Kama unazo...siyo mbaya kumsaidia !!! Maisha ni mafupi tenda mema utayakuta mbele !! Toa kama SADAKA (charity) !!
 
kwa hapo utanifilishi halafu my wife akose hata hela ya bikini,sory wa pm mapedenshee bora niwe muwazi

aya siji tena unaonekana njaa kali basi pole ngoja nikuache usije jitoa roho
 
nipe number yake nikuelekeze jinsi ya kumsaidia me hata sijaoa bado.
 
aya siji tena unaonekana njaa kali basi pole ngoja nikuache usije jitoa roho
kwa wewe ninavyokujua labda nikukopeshe na tunaandkishana kabisa kwa mwanasheria ili ukinizingua nuza kamjengo.Siwezi kununua papuchi bei gali hivyo,kwani ina Gold?
 
Kama unajijua una mpenzi inatakiwa kuwe na mipaka kwa hao marafiki zako,
ushalikoroga mpe tu hizo hela
mi ningekuwa huyo dem nakuomba tu, yani naomba tu
eti una mpenzi hata sisimizi nae ana mpenzi wake

Wacha weeee!!!mpah sisimizi piaaaaa!!!amekoma aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…