Ukifanya hivyo mugogoro utajirudia, hao watu wapo toka miaka ya 60 ukichukulia.maeneo mengine miaka ya 60 yalikuaje utashangaa idadi imeongezekabo,sheria ibadilishwe watolewe hapa tujadili fidiaKwema Wakuu!
Mimi sina mengi ya kuzungumza.
Nilikuwa naishauri serikali, iweke utaratibu muhimu na wakudumu. Iunde sheria ya idadi ya watu wanaotakiwa kuishi hifadhi ya Ngorongoro
Hii kauli haina tofauti na wale walokuwa wakisema ulemavu wa ina fulani ni dili. Mleta mada uone aibu. Na uache ubaguzi!!!
Mradi wa Bwawa la Nyerere Unapaswa kukamilika mapema.
Ukifanya hivyo mugogoro utajirudia,hao watu wapo toka miaka ya 60 ukichukulia.maeneo mengine miaka ya 60 yalikuaje utashangaa idadi imeongezekabo,sheria ibadilishwe watolewe hapa tujadili fidia
Kati ya hao wanyama na Wamasai ni nani kamkuta mwenzie hapo Ngorongoro? Aliyemkuta mwenzie ndo apungunzwe
Hiv una Elimu ya Uhifadhi Kweli?
Yani watu tunafikiria Simba awekwe kwenye Endangered Species sababu wanapungua kwa kasi sana
Acha upopoma wewe jamaa, wapi wanafanya hivyo? Tofautisha kati ya National Park, Game Reserve na Protected Areas. Halafu ujue ni wapi wanafanya Trophie Hunting na wanyama wanotumika kama bait ni Nyati, Nyumbu na Swala
UTU wa binadamu haulinganishwi na wanyama hata Mungu alitofautisha.Kwema Wakuu!
Mimi sina mengi ya kuzungumza.
Nilikuwa naishauri serikali, iweke utaratibu muhimu na wakudumu. Iunde sheria ya idadi ya watu wanaotakiwa kuishi hifadhi ya Ngorongoro kulingana na Ecosystem ya pale. Kisha idadi inayozidi wawe wanahamishwa.
Maasai ni Watanzania wenzatu hivyo lazima tujali haki zao, lakini piah hata hifadhi na wanyama ni moja ya Rasilimali zetu muhimu Kwa uchumi na Masuala ya kimazingara. Ni lazima tutende Kwa hekima.
Tusiwafukuze, isipokuwa tuongee nao kisha wahamishwe kwenye Maeneo mengine.
Hata Simba au Fisi mbugani wakizidi kuwa wengi Kwa kuzaliana kuna namna ya kuwapunguza aidha Kwa kuwaua, kuwauza, au kuwahamisha mbuga zingine, sasa wamaasai sio wanyama ni watu Kama sisi, hatuwezi kuwaua wala hatuwezi kuwauza, isipokuwa tunaweza kuwahamisha kama sehemu ya ku-balance Ecosystem ya pale Ngorongoro.
Hayo mengine ya Siasa sidhani kama yanaumuhimu wowote.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
UTU wa binadamu haulinganishwi na wanyama hata Mungu alitofautisha.
Hao wamasai lazima Wafurushwe haraka iwezekanavyo...Hakuna kuleta siasa hapa... Mimi nasema Jeshi litumike na iwe ni special Operation...
Na nyie mkizidi mtaani kwenu huwa mnafanywa nini?
Mazingira ya wanyama ni yapi na ya binadamu ni yapi, unaweza kutuambia kati ya wamasai na wanyama nani alitangulia kuishi Ngorongoro, au kabla ya wamasai kuanza kuishi humo walitokea wapi.Binadamu wanamazingira Yao Kama walivyowamyama.
Sio Kwa sababu wewe ni Binadamu ndio uathiri viumbe wengine kwa kisingizio cha utu wako
Hakika.Nchi hii haieleweki
Kwa namna yoyote iwavyo: Wamasai wakihamishwa ama kubakizwa ni wakati muafaka wananchi wajitokeze kupinga ujenzi holela wa hoteli za kitalii ndani ya NCA.Kwema Wakuu!
Mimi sina mengi ya kuzungumza.
Nilikuwa naishauri serikali, iweke utaratibu muhimu na wakudumu. Iunde sheria ya idadi ya watu wanaotakiwa kuishi hifadhi ya Ngorongoro kulingana na Ecosystem ya pale. Kisha idadi inayozidi wawe wanahamishwa.
Maasai ni Watanzania wenzatu hivyo lazima tujali haki zao, lakini piah hata hifadhi na wanyama ni moja ya Rasilimali zetu muhimu Kwa uchumi na Masuala ya kimazingara. Ni lazima tutende Kwa hekima.
Tusiwafukuze, isipokuwa tuongee nao kisha wahamishwe kwenye Maeneo mengine.
Hata Simba au Fisi mbugani wakizidi kuwa wengi Kwa kuzaliana kuna namna ya kuwapunguza aidha Kwa kuwaua, kuwauza, au kuwahamisha mbuga zingine, sasa wamaasai sio wanyama ni watu Kama sisi, hatuwezi kuwaua wala hatuwezi kuwauza, isipokuwa tunaweza kuwahamisha kama sehemu ya ku-balance Ecosystem ya pale Ngorongoro.
Hayo mengine ya Siasa sidhani kama yanaumuhimu wowote.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa namna yoyote iwavyo: Wamasai wakihamishwa ama kubakizwa ni wakati muafaka wananchi wajitokeze kupinga ujenzi holela wa hoteli za kitalii ndani ya NCA.
Siku zote binadamu ndiye anayewakuta wanyama na viumbe wengineMazingira ya wanyama ni yapi na ya binadamu ni yapi, unaweza kutuambia kati ya wamasai na wanyama nani alitangulia kuishi Ngorongoro, au kabla ya wamasai kuanza kuishi humo walitokea wapi.