Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Yaani imefika hatua utofauti mkubwa uliopo kati ya Karatu/Mto wa mbu na NCA ni barabara ya lami na stendi ya magari.Ni kweli kabisa Mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani imefika hatua utofauti mkubwa uliopo kati ya Karatu/Mto wa mbu na NCA ni barabara ya lami na stendi ya magari.Ni kweli kabisa Mkuu
Huwa Kuna utaratibu wa kuondoa watu nadhani ni mwaka huu watu wanasikia au sijui ni siasa Ila huwa Kuna utaratibu wakupunguza watu au mifugo sana sana lakini kwa kipindi hiki idadi ya watu imezidi maradufu na Ngorongoro haina uwezo wakubalance ecologia maana nyumba za udongo zimeendelea kuongezeka na shughuli za binadamu na hii inahathri maisha ya wanyama pia ongezeko kubwa la mifugo pia linaleta ushindani katka malisho na maeneo ya kupumzika na haya yote husababisha wanyama kupungua kwa kwenda mbali zaidi au kujifisha, kufa au kupunguza kasi ya kuzaliana.Kwema Wakuu!
Mimi sina mengi ya kuzungumza.
Nilikuwa naishauri serikali, iweke utaratibu muhimu na wakudumu. Iunde sheria ya idadi ya watu wanaotakiwa kuishi hifadhi ya Ngorongoro kulingana na Ecosystem ya pale. Kisha idadi inayozidi wawe wanahamishwa.
Maasai ni Watanzania wenzatu hivyo lazima tujali haki zao, lakini piah hata hifadhi na wanyama ni moja ya Rasilimali zetu muhimu Kwa uchumi na Masuala ya kimazingara. Ni lazima tutende Kwa hekima. Tusiwafukuze, isipokuwa tuongee nao kisha wahamishwe kwenye Maeneo mengine.
Hata Simba au Fisi mbugani wakizidi kuwa wengi Kwa kuzaliana kuna namna ya kuwapunguza aidha Kwa kuwaua, kuwauza, au kuwahamisha mbuga zingine, sasa wamaasai sio wanyama ni watu Kama sisi, hatuwezi kuwaua wala hatuwezi kuwauza, isipokuwa tunaweza kuwahamisha kama sehemu ya ku-balance Ecosystem ya pale Ngorongoro.
Hayo mengine ya Siasa sidhani kama yanaumuhimu wowote.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Mkuu nakubaliana nawe, kwamba wamaasai wakizidi wahamishiwe sehemu nyingi kama vile zamani wachaga adhani na hao wamasai na wasukuma walihamishiwa mikoa mingine kama Morogoro kwa kuwa sehemu walizokuwa wanaishi/wanaka ardhi (eneo) lilikuwa limejaaKwema Wakuu!
Mimi sina mengi ya kuzungumza.
Nilikuwa naishauri serikali, iweke utaratibu muhimu na wakudumu. Iunde sheria ya idadi ya watu wanaotakiwa kuishi hifadhi ya Ngorongoro kulingana na Ecosystem ya pale. Kisha idadi inayozidi wawe wanahamishwa.
Maasai ni Watanzania wenzatu hivyo lazima tujali haki zao, lakini piah hata hifadhi na wanyama ni moja ya Rasilimali zetu muhimu Kwa uchumi na Masuala ya kimazingara. Ni lazima tutende Kwa hekima. Tusiwafukuze, isipokuwa tuongee nao kisha wahamishwe kwenye Maeneo mengine.
Hata Simba au Fisi mbugani wakizidi kuwa wengi Kwa kuzaliana kuna namna ya kuwapunguza aidha Kwa kuwaua, kuwauza, au kuwahamisha mbuga zingine, sasa wamaasai sio wanyama ni watu Kama sisi, hatuwezi kuwaua wala hatuwezi kuwauza, isipokuwa tunaweza kuwahamisha kama sehemu ya ku-balance Ecosystem ya pale Ngorongoro.
Hayo mengine ya Siasa sidhani kama yanaumuhimu wowote.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Mkuu umeelezea kwa uchungu na kwa ufasaha sana juu ya hoja hizi. Ni kweli kabisa kwamba Ngorongoro ni Mamlaka na hizi za TANAPA ni hifadhi. Mamlaka ina mchanganyiko wa wanyama pori na watu wenye kufuga wanyama wao. Aidha mahoteli nayo yanahatarisha ustawi wanyama hivyo ni busara Serikali ikapunguza mahotel yakajengwe nje ya Mamlaka (Karatu), wamasai na mifugo yao wawepo kwa idadi inayo kubalika kwa usawa unaoendana na eneo husika na wale wanao zidi watafutiwe eneo rafiki kwa makazi.Hiv una Elimu ya Uhifadhi Kweli?
Yani watu tunafikiria Simba awekwe kwenye Endangered Species sababu wanapungua kwa kasi sana Tanzania na Duniani. Wewe unasema hata Simba na fisi wanauawa wakizidi.
Hakuna kitu kama hicho kwenye Eco System, Simba atakufa natural death au atauawa na myama mwenzake na sio binadamu ili wapunguzwe. Sasa hivi nchi kama USA ina discourge sana kuweka Simba kwenye Trophy Hunting katika vitalu vya uwindaji sababu wanapungua kwa kasi hadi imekua ngumu kuwaona hata ukienda mbugani.
Nani alikwambia kama Ngorongoro kuna Simba wengi? Kaa ukijua population ya Simba inapotea Ngorongoro ndo maana wahifadhi wanachanganyikiwa sababu ndo mnyama pekee anayeongoza kwa kuleta watalii pamoja na chui.
Tanzania ilikua na Simba zaidi ya elfu 14 na sahizi tunaongelea Simba elfu 3 halafu unasema wameongezeka. Sio kila mada lazima uiandikie uzi hata kama haupo well informed
Hilo la Evacuation ya Wamasai nitakubaliana na wewe kwamba lazima kuwe na Mutual Agreement between the Government ya namna ya ku control population ya Mifugo ambayo ndo kikwazo kikubwa.
Wamasai watafute mbadala wa nomadic life. Hivi hamchoki ugomvi na wakulima na hifadhi?Wamasai waanze kutumia P2 na Condom
Well saidMkuu umeelezea kwa uchungu na kwa ufasaha sana juu ya hoja hizi. Ni kweli kabisa kwamba Ngorongoro ni Mamlaka na hizi za TANAPA ni hifadhi. Mamlaka ina mchanganyiko wa wanyama pori na watu wenye kufuga wanyama wao. Aidha mahoteli nayo yanahatarisha ustawi wanyama hivyo ni busara Serikali ikapunguza mahotel yakajengwe nje ya Mamlaka (Karatu), wamasai na mifugo yao wawepo kwa idadi inayo kubalika kwa usawa unaoendana na eneo husika na wale wanao zidi watafutiwe eneo rafiki kwa makazi.
Wamasai ni nomads hivyo kuwahamisha siyo kazi kwa nature yao.Kwema Wakuu!
Mimi sina mengi ya kuzungumza.
Nilikuwa naishauri serikali, iweke utaratibu muhimu na wakudumu. Iunde sheria ya idadi ya watu wanaotakiwa kuishi hifadhi ya Ngorongoro kulingana na Ecosystem ya pale. Kisha idadi inayozidi wawe wanahamishwa.
Maasai ni Watanzania wenzatu hivyo lazima tujali haki zao, lakini piah hata hifadhi na wanyama ni moja ya Rasilimali zetu muhimu Kwa uchumi na Masuala ya kimazingara. Ni lazima tutende Kwa hekima. Tusiwafukuze, isipokuwa tuongee nao kisha wahamishwe kwenye Maeneo mengine.
Hata Simba au Fisi mbugani wakizidi kuwa wengi Kwa kuzaliana kuna namna ya kuwapunguza aidha Kwa kuwaua, kuwauza, au kuwahamisha mbuga zingine, sasa wamaasai sio wanyama ni watu Kama sisi, hatuwezi kuwaua wala hatuwezi kuwauza, isipokuwa tunaweza kuwahamisha kama sehemu ya ku-balance Ecosystem ya pale Ngorongoro.
Hayo mengine ya Siasa sidhani kama yanaumuhimu wowote.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Wamasai ni nomads hivyo kuwahamisha siyo kazi kwa nature yao.
Maadamu wenzetu wamasai wanakubali kwamba wao nao ni vivutio vya utalii nadhani kuwauza kadhaa for trophy sio mbaya.
Wabaki pale tutakuwa tunakamata kadhaa tunapiga bei, NCAA wapange bei tuanze kazi maana naona wenzetu wanang'ang'ania tuwatam ue Kama kivutioycha utalii.
Robert kwanza niungane nawe kwa hoja zako zenye mashiko hasa kwenye suala la kuweka ukomo wa idadi ya watu (Maasai) wanaotakiwa kuishi ndani ya Mamlaka ya Uhidhafi ya Ngorongoro, translocation ya Maasai ni changamoto hasa kutokana na nomadic life style yao, lakini pia vizazi vilivyo pita viliingia mkataba na serikali ya wakoloni kuwa wataishi katika eneo la Ngorongoro badala ya kuondolewa eneo la Serengeti. Lakini nikusahihishe kidogo kuwa Tanzania hatuna Mbuga za Taifa ila tuna Mapori ya AkibaSasa mwanadamu utamfanyia Trophie hunting akizidi ndani ya national park, au Game Reserve au protected areas?
Ili ujue wewe ndio popoma.
Unafikiri sijui tofauti Kati ya hifadhi za taifa na mbuga za taifa?
Hata marekani ilivyoona ongezeko kubwa la watu wakamwaga ukimwi na ebola.Ndio maana hata hao wanyama wakizidi mpaka kuhatarisha Ecosystem wanapunguzwa, sioni ajabu wamasai Kama sehemu ya Ecosystem wanapozidi na kuhatarisha usalama wa eneo Hilo wakipunguzwa kupelekwa sehemu nyingine.
Hata marekani ilivyoona ongezeko kubwa la watu wakamwaga ukimwi na ebola.
True na walivyo ona vibabu na vizee viko vingi na vinawapa gharama ya kuvitunza wakaleta KORONAHata marekani ilivyoona ongezeko kubwa la watu wakamwaga ukimwi na ebola.
Umeona marekani hawataki wagonjwa gonjwaTrue na walivyo ona vibabu na vizee viko vingi na vinawapa gharama ya kuvitunza wakaleta KORONA
Yes hii ni hoja nzuri sana!!..Kwema Wakuu!