Magulumangu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 3,051
- 461
- Thread starter
- #121
Mpalestina......:mod:
Mie sisemi tena unatoka wapi au sio?naiweka kibindoni dear waache wa gesi tu sie tumetulia zetu tunaojua....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpalestina......:mod:
Hehehehhehe....sasa najipatia asilimia ngapi?????
Aaaaah Magulumangu sasa unaunguza picha, Lizzy usijali hivi ni vijimambo tu!!!
Hahhahaa...
Mi mkareee we mkareee
Tukitembea wote sare sare...
Tunasonga mbele huku tukipare...tukiparee tukipareee
Kina Magulumangu wao watabaki pare pare!
Lizzy hajaiona na hataiona hii, tuiache iwe siri yetu au sio?
Hureeee mla halwa,.... uko juu kama mpapai
Asante, mashaira sijui shairi nzuri. Lakini sasa linakua baya sababu, hujanitaja wa kwanza.
Aku na mie nataka ubeti wangu
Poa nimekusoma mkuu, lakini mmmh kumsaliti Lizzy roho inanisuta, she's just too sweet to be betrayed, yan bora hata unge ni PM, hapa lazima atapata habari tu nasikia ana wifi yake humu, halafu ni mkare kinoma.
Ahahahahaha Magulimangu na Luka nawaona...`
Naona Luka anashika makalio ya simba, hajamjua wifi yako eeeeeehhhh
Ahahahahaha Magulimangu na Luka nawaona...`
Sio mimi Lizzy, ni magulumangu huyo, eti anasema nisikwambie vile alivyosemaga