Hata sisi ni staa, kwa majina nitataja,

Hata sisi ni staa, kwa majina nitataja,

Mh! hivi watu wanapenda kuwa mastaa. Ukiuliza mara ngapi anaenda church/msikitini au kusoma biblia/msahafu? Hana jibu. Staa ardhini hapa wapo? Staa ni mwenye roho mtakatifu wa kweli siyo kama shairi lako.

Kuboreka kunaleta mauzauza mengi. Sorry kama nimeudhi mtu.

Hivi Caro
kuna ubaya gani kweye hilo shairi dear??/
 
Kila kitu kwa muda wake....
 
duru bado lijaisha,upo juu wangu gaga,
jamii umeitikisha,busarazo maliaga,
mapenzi siasa isha,fagia fagia gaga,
Hata sisi ni staa,kwa majina nitataja,
Hapo chacha thanx sasa nimepumua
 
Mh! hivi watu wanapenda kuwa mastaa. Ukiuliza mara ngapi anaenda church/msikitini au kusoma biblia/msahafu? Hana jibu. Staa ardhini hapa wapo? Staa ni mwenye roho mtakatifu wa kweli siyo kama shairi lako.

Kuboreka kunaleta mauzauza mengi. Sorry kama nimeudhi mtu.
Mhhhhhhhhh!!! liwelelo
 
Nitaanza kuwataja,kwa majina na tabia,
Afrodenzi namtaja, nyamayao fatilia,
Nilham anakuja,wa rasheedi fatilia,
Hata sisi ni staa, kwa majina nitataja,

Judi wetu mwanaheri,asha d sitokuacha,
sweetlady yu mahiri,lizzy ye muarusha,
Brackberry stahiri,kukuacha tutaisha,
Hata sisi ni staa, kwa majina nitataja,

Mwanajami1 jamani, jukwaa liwakilishe,
Pearl Matty huerini,Kareen_hapuch miche,
Daughter wake zioni,Blaki woman turushe,
Hata sisi ni staa, kwa majina nitataja,

Sio kwamba nakuacha, hili ni duru la kwanza,
Mkao kula kukicha,ntakuja na wa kwanza,
Wewe mwana maisha, kwa jina lake ni minza,
Hata sisi ni staa, kwa majina nitataja,

Ngoja ni rejee kwa shaabani robart........niangalie vina vya kati na vya mwishoni.
 
Mh! hivi watu wanapenda kuwa mastaa. Ukiuliza mara ngapi anaenda church/msikitini au kusoma biblia/msahafu? Hana jibu. Staa ardhini hapa wapo? Staa ni mwenye roho mtakatifu wa kweli siyo kama shairi lako.

Kuboreka kunaleta mauzauza mengi. Sorry kama nimeudhi mtu.

Taratibu Caroline, hii ni mbona poa tu, hutaki watu wafurahi? We ukiwa bored unataka wote wawe bored au? Acha wana jf waendelee kupare, it's good food for brain.
 
Tunajifurahisha na yeye akiwa mmoja wao au sio?
 
jamani magulumangu mi hii thread nimechelewa kuiona maskini kwaninni hukunijulisha kwa telephone jamaniii nice one big up.....lakini mi jina lako sikuliona pale ingekuwa baada ya mimi wewe ndio iingekuwa nzuri zaidi hahahah haya tanx hiyo nakupa,,,
 
Kweli gaga, unajua hii inaleta ka uhusiano fulani kazuri ingawa naamini wengi hatufahamiani physically, lakini inatengeneza spiritual bond, mpaka sometimes watu wana fall in love na avatar. Jf is addictive so let's make the most out of it.
 
Mh! hivi watu wanapenda kuwa mastaa. Ukiuliza mara ngapi anaenda church/msikitini au kusoma biblia/msahafu? Hana jibu. Staa ardhini hapa wapo? Staa ni mwenye roho mtakatifu wa kweli siyo kama shairi lako.

Kuboreka kunaleta mauzauza mengi. Sorry kama nimeudhi mtu.

Caroline wewe ndo hujui dini, kamwe hata yesu hajajiaja yeye mwema hivo kaa kimya dada angu, Unaamini kanisa au msikiti? mwamini mungu kwa taarifa yako, hapa jf sio kujitangaza wewe mwema wewe sijui nini...Kama unaona hapa ni kuonyeshana how many times do you worship sorry, Hiki ni kijiwe tena zaidi ya vile vya wahuni....Wewe hapa hufai kama Ukoma...Nenda jukwaa la amni hukooooooooooooooooooo......Tuachie mapenzi yetu ambayo ni burudani...
 
Mh! hivi watu wanapenda kuwa mastaa. Ukiuliza mara ngapi anaenda church/msikitini au kusoma biblia/msahafu? Hana jibu. Staa ardhini hapa wapo? Staa ni mwenye roho mtakatifu wa kweli siyo kama shairi lako.

Kuboreka kunaleta mauzauza mengi. Sorry kama nimeudhi mtu.

Hapa tunapotezea muda tu kama wewe unaona jf ndo baba na mama haya anza kuhubiri sasa....narudia tena HIKI NI KIJIWE TU, unapokuwa hatuna kazi ndo tunaangalia....Wewe kama unakuja hapa kikazi pole dada..is a wrong place..
 
jamani magulumangu mi hii thread nimechelewa kuiona maskini kwaninni hukunijulisha kwa telephone jamaniii nice one big up.....lakini mi jina lako sikuliona pale ingekuwa baada ya mimi wewe ndio iingekuwa nzuri zaidi hahahah haya tanx hiyo nakupa,,,

usijali walikuwakilisha vema tu, kina afrodenzi, gaga na wote uwajuao...simu niliporwa pare posta mpya juzi na kila kiu pamoja na dairy so sina contact zako pia......
 
Hivi Caro
kuna ubaya gani kweye hilo shairi dear??/

Achaneni nae huyo, kwanza uwepo wake hapa JF hafifu, pili mwenye dini wala hili jukwaa la mapenzi hawezi kuja, pia hakuna celebriy mkuu kama mungu a yesu, hao ndo ma staa number moja....sasa swali kwake caro je anamjua kweli mungu? analijua kweli kanisa na misikiti? kama yes basi mie na yeye TUPARE ndani ya biblia tena kwa mistari na vina...am ready for it....
 
Kila kitu kwa muda wake....

Kama yuko right apinge kwa mistari ndani ya biblia au qur'an sio kwa hoja zake hafifu...Aje kwa vina na vishazi vilivyo ndani ya vitabu vitakatifu aone sasa watu nyanja zote tuko fiti...
 
Back
Top Bottom