Miss Curious
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 315
- 497
mbona umepanick chief [emoji20][emoji1]Kunuka domo ni ugonjwa sio mtu anajitakia upo hapo! Ila nyie kunuka K" ni uchafu wenu napia mnaongoza kutoa harufu mwili mzima hata mawig yenu yananukia kama beberu.
ndio tatizo letu tunaponda sana ila suluhu hakunaUngewasaidia dawa ingependeza zaidi, hata hivyo matatizo haya ni ya jinsi zote
Ndo utazidi kumfanya apanick zaidi😛mbona umepanick chief [emoji20][emoji1]
shusha pumzi uandike taratibu
AlikuvutiaNdo utazidi kumfanya apanick zaidi😛
Kwamba akiona vya elea vimeunda!Funzo kidogo....alikuvutia lakin ukamtosa kisa ananuka mdomo hlo halikua suluhisho bali umekimbia tatizo. Ungeweza kumfanya awe kama unavyotaka kwa sababu alikuelewa. Ila unaweza kutana na mwingine hanuki domo lakin kuna mwanamke kama ww ndo alimfanya awe hvyo mwsho wa siku unachezewa,unagombana na wanawake wenzako kisa mtu ambae umemkuta kakamilishwa na mwanamke pia.....Tafuta wako mtunze,mfanye awe utakavyo af uone kma hamtakua na furaha
AiseeeeeAlikuvutia
Angekuwa hanuki mdomo ungempa
Vipi yule mwingine uliyesema mnamatch ?
kweli mkuu ushauri mzuriFunzo kidogo....alikuvutia lakin ukamtosa kisa ananuka mdomo hlo halikua suluhisho bali umekimbia tatizo. Ungeweza kumfanya awe kama unavyotaka kwa sababu alikuelewa. Ila unaweza kutana na mwingine hanuki domo lakin kuna mwanamke kama ww ndo alimfanya awe hvyo mwsho wa siku unachezewa,unagombana na wanawake wenzako kisa mtu ambae umemkuta kakamilishwa na mwanamke pia.....Tafuta wako mtunze,mfanye awe utakavyo af uone kma hamtakua na furaha