Hata uwe na pesa vipi na u_handsome vipi ukishakuwa unanuka mdomo pita mbali nami.

Miss Curious

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
315
Reaction score
497
Unaambiwa utamu wa ngoma ingia ucheze mwenyewe.
Ndivyo niliyoyashudia hivi majuzi baada ya kukutana na kijibrodamen smart kwa nje but domo sijui anatatizo gani yani sio romance tu hata akikuongelesha ùpepo woote wa bahari chafu unavuma kukuelekea mmmhh.
Eti sister sory nadhani ninakufaham if I am not mistaken.
Enhe niambie unanifahamuje?
Oohh unajuaa bla bla kibao

Basi nilikuwa disapointed hataree japo kwa muonekano alinivutia nikamwambia kaka nipe tu namba yako I will call you back kukatisha maelezo.
Nilivyoondoka pale ndio basi tena nikaifutilia mbali.

Ushauri wakaka jitahidini kusafisha ndimi na midomo yenu mnakera.
 
Looool eti upepo wote wa bahari chafu mfffffffff
 
Kunuka domo ni ugonjwa sio mtu anajitakia upo hapo! Ila nyie kunuka K" ni uchafu wenu napia mnaongoza kutoa harufu mwili mzima hata mawig yenu yananukia kama beberu.
mbona umepanick chief [emoji20][emoji1]
shusha pumzi uandike taratibu
 
Wanaume wa mikoani kila siku nawaambia hebu kuweni wastaarabu basi,igeni toka kwetu hamtochekwa.
 
Funzo kidogo....alikuvutia lakin ukamtosa kisa ananuka mdomo hlo halikua suluhisho bali umekimbia tatizo. Ungeweza kumfanya awe kama unavyotaka kwa sababu alikuelewa. Ila unaweza kutana na mwingine hanuki domo lakin kuna mwanamke kama ww ndo alimfanya awe hvyo mwsho wa siku unachezewa,unagombana na wanawake wenzako kisa mtu ambae umemkuta kakamilishwa na mwanamke pia.....Tafuta wako mtunze,mfanye awe utakavyo af uone kma hamtakua na furaha
 
Unakuta wewe unanuka K vidume vinakuvumilia tu

hahahaha michezo hii haiitaji hasira dada

huwezi kumnyampa mwanaume mwenzetu tukakuacha hivi hivi
 
Sio wakaka tu ata kuna wadada nao wapo vizuri kwenye kunukisha midomo,akitanua mdomo upenyo wa toothpick tuu utaisoma habari yake.
 
ZAKARIA akikasirika haangalii hilo ! hata kama una ni kama pungo. we huoni mademu wanaotoka kanda za baridi kama iringa, mufindi, mbeya nk wakija bongo wanavo nuka kama pungo.... lakini wapi! watu wanatupia😀😀😀
 
Funzo kidogo....alikuvutia lakin ukamtosa kisa ananuka mdomo hlo halikua suluhisho bali umekimbia tatizo. Ungeweza kumfanya awe kama unavyotaka kwa sababu alikuelewa. Ila unaweza kutana na mwingine hanuki domo lakin kuna mwanamke kama ww ndo alimfanya awe hvyo mwsho wa siku unachezewa,unagombana na wanawake wenzako kisa mtu ambae umemkuta kakamilishwa na mwanamke pia.....Tafuta wako mtunze,mfanye awe utakavyo af uone kma hamtakua na furaha
Kwamba akiona vya elea vimeunda!
 
kweli mkuu ushauri mzuri
 
Back
Top Bottom