Watu hawatembei kuangalia majiji tu.Kwa taarifa yako hakuna jiji lolote Marekani au Ulaya linalotia mguu kwa Shanghai. Halipo!
Tembea uone!
Ni kawaida kwa mwanadamu kupenda mambo mapya.... Yani nikulie huku porini alafu nikitaka kutalii niende tena pori la Serengeti kweli?Watu hawatembei kuangalia majiji tu.
Wengine washavuka level ya kutembea kuangalia majiji.
Ndiyo maana wengine wanatoka kwenye majiji wanakwenda kutalii Serengeti mbugani.
Ila nyie mnaolimbuka na majiji bado, mmetoka vijijini, ni lazima mshobokee majiji.
Mapya kwako wewe uliyekulia porini.Ni kawaida kwa mwanadamu kupenda mambo mapya.... Yani nikulie huku porini alafu nikitaka kutalii niende tena pori la Serengeti kweli?
China hata kiutamaduni tu ni surveillance state.Upo sawa lakini Tambua MAREKANI wametufundisha swaga how to dress how to sing Yani Kuna hali flani hiv una feel ukiwa American sasa china nzuri inapendeza lakini watu wake ni kama Wana vijiji Hawajui kuvaa, wanakula nyoka Wana maisha ya kazi kazi
Watu hawatembei kuangalia majiji tu.
Wengine washavuka level ya kutembea kuangalia majiji.
Ndiyo maana wengine wanatoka kwenye majiji wanakwenda kutalii Serengeti mbugani.
Ila nyie mnaolimbuka na majiji bado, mmetoka vijijini, ni lazima mshobokee majiji.
Hapo sawaNa Dar mkuu
We jamaaa taratibuKwa taarifa yako hakuna jiji lolote Marekani au Ulaya linalotia mguu kwa Shanghai. Halipo!
Tembea uone!
dah watu mnaichukia sana uchina mnapenda kunyonywaUpo sawa lakini Tambua MAREKANI wametufundisha swaga how to dress how to sing Yani Kuna hali flani hiv una feel ukiwa American sasa china nzuri inapendeza lakini watu wake ni kama Wana vijiji Hawajui kuvaa, wanakula nyoka Wana maisha ya kazi kazi
At least uishi China kwenye surveillance state, kuliko Marekani ambako unakula vyakula havina ladha ili usife tu.China hata kiutamaduni tu ni surveillance state.
Sasa mjanja gani anataka surveillance state?