Hata wale walikuwa pro west sasa wanatamani kuitembelea Uchina

Hata wale walikuwa pro west sasa wanatamani kuitembelea Uchina

Utaelewa utapoangalia maendeleo ya china na ukifananisha na US
Screenshot_20250415_102925_Google~2.png
Screenshot_20250415_103007_Google~2.png
 
Hakuna nilipopiga rungu maoni. Namulika ulimbukeni wa kushobokea majiji tu.

Wengine likizo Turks and Caicos hata kama uwezo wa kwenda Beijing na Shanghai tunao.
Ngosha unaishi New York kwa miaka mingapi sasa ?
 
At least uishi China kwenye surveillance state, kuliko Marekani ambako unakula vyakula havina ladha ili usife tu.

Unatumikishwa kazi zaidi ya moja kulipa bills na risasi muda wowote utafikiri mko kwenye civil wars.
Marekani kuna vyakula vya kila aina, ni pesa yako tu.

Kufanya kazi zaidi ya moja hapo maana yake huna elimu na ujuzi wa kupata kazi moja itakayokulipa vya kutosha, au umeamua tu kuzichanga. Angalau Marekani kazi zipo na zinalipa. Ni wewe kujituma tu.

Mimi sijawahi kufanya kazi zaidi ya moja ukiondoa kipindi cha miezi michache cha kwenye pandemic ambapo ilikuwa kama ninelazimishwa kufanya kazi zaidi ya moja kutokana na upungufu wa wafanyakazi. Nikafanya kazi mbiki, tena working from home. I have talent, nimesoma, nafanya kazi kitoka nyumbani mostly for the last 10 years or so, naanzaje kufanya kazi mbilimbili? Usifikiri kila mtu ana struggle kulipa bills kwa kuishi check by check.

Risasi sijawahi kuisikia katika ZIP Code yangu niliyoishi kwa takriban miaka 15 sasa, hapa nasikia baruti za Fourth of July na Mwaka Mpya tu. Naweza kulala mlango wazi bila tabu. Ukienda kuishi sehemu za low income of course utasikia risasi kila siku.

Marekani ni kubwa, acha ku stereotype mambo, usifikiri ujinga unaouona kwenye habari upo kila sehemu.
 
Ngosha unaishi New York kwa miaka mingapi sasa ?
Tangu Mkapa akiwa rais. Niliona Mrema alivyoibiwa kura nikaamua kupiga kura kwa miguu yangu kuelekea Vingunguti njia panda ya Kisarawe na Ulaya kuchukua pipa mazima nikashangae jiji la majiji, mji mkuu wa dunia.

Nikaondoa ushamba wa majiji sasa hivi hata likizo nakwenda visiwa vya Turks and Caicos.
 
Tangu Mkapa akiwa rais. Niliona Mrema alivyoibiwa kura nikaamua kupiga kura kwa miguu yangu kuelekea Vingunguti njia panda ya Kisarawe na Ulaya kuchukua pipa mazima nikashangae jiji la majiji, mji mkuu wa dunia.

Nikaondoa ushamba wa majiji sasa hivi hata likizo nakwenda visiwa vya Turks and Caicos.
Caicos yanyokwe
 
Upo sawa lakini Tambua MAREKANI wametufundisha swaga how to dress how to sing Yani Kuna hali flani hiv una feel ukiwa American sasa china nzuri inapendeza lakini watu wake ni kama Wana vijiji Hawajui kuvaa, wanakula nyoka Wana maisha ya kazi kazi
Hii ndio sababu USA is far ahead of China
Majiji sio majengo tu, bali na watu pia. Marekani iko very diverse that's why ni more interesting than China
 
Source AI!?
AI hii inayokwambia Kenya Ina bullet trains!?
Uwe na siku njema.
China imejaa Wachina
Marekani ina wazungu, waafrika, wahindi, waarabu, wachina yani kila race ipo kuke tena kwa ratio kubwa kubwa kuliko China
 
Back
Top Bottom