Maswa Yetu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2023
- 1,398
- 2,619
Unaposema nchi yako una maanisha Tanganyika ama?Binafsi nilijua tutamkumbuka lakini siyo kwa haraka na mapema namna hii.
Nchi yetu sasa ni hatari zaidi kuwataja watekaji kuliko kuwa mtekaji, kuliko ujitokeze uwakemee wauaji utakamatwa na dola!!
Nchi yetu sasa ni hatari zaidi kuuchambua ufisadi ulioibuliwa na CAG kuliko kufanya ufisadi, yani sasa hivi ndani ya nchi yetu utalindwa na dola kwa kuambiwa kula kwa urefu wa kamba yako, lakini ukipinga ufisadi na kuwataja waliofanya ufisadi utaambiwa humpendi mama na serikali yake.
Ndani ya nchi yetu sasa hivi mafisadi, majizi na wazembe kazini wako salama kwani wanalindwa zaidi kuliko awamu nyingine yoyote ile!
Baada ya Freeman Mbowe kukutwa na kesi ya kujibu kuhusu ugaidi na kupanga njama za kuuwa viongozi wa serikali na kukaa jela kwa miezi 8, sasa Tundu Lisu nae yuko jela kwa kesi ya uhaini.
Nape na January Makamba wamebwagwa huko si mawaziri tena.
Paul Makonda ni mkuu wa mkoa tena.
Flyover mpya hakuna na uhamasishaji ujenzi wa viwanda Umedorora.
Bwawa la umeme limekamilika ujenzi wake lakini bei ya umeme iko juu vilevile.
Job Ndugai alifukuzwa uspika wa bunge baada ya kutoa ushauri wake kuhusu nchi kukopa hovyo.
Askofu Gwajima amefutiwa kanisa lake la Ufufuo na uzima kwa kosa la kuwakemea hadharani watekaji.
Ukiondoa watekaji, wauaji, mafisadi na wazembe kazini, hakuna mwingine mwenye furaha ndani ya nchi yetu.
HatariMaza amefeli pakubwa Sana kwenye uongozi wake.
Nchi imechoka kwelikweli
Utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM 2020-2025 imerahisisha upatikanaji wa huduma za kijamii kama vile afya, maji, elimu n.k, huku shughuli za kiuchmi zikiongezeka na uhuru katika kufanya siasa umeboreshwa zaidi.Binafsi nilijua tutamkumbuka lakini siyo kwa haraka na mapema namna hii.
Nchi yetu sasa ni hatari zaidi kuwataja watekaji kuliko kuwa mtekaji, kuliko ujitokeze uwakemee wauaji utakamatwa na dola!!
Nchi yetu sasa ni hatari zaidi kuuchambua ufisadi ulioibuliwa na CAG kuliko kufanya ufisadi, yani sasa hivi ndani ya nchi yetu utalindwa na dola kwa kuambiwa kula kwa urefu wa kamba yako, lakini ukipinga ufisadi na kuwataja waliofanya ufisadi utaambiwa humpendi mama na serikali yake.
Ndani ya nchi yetu sasa hivi mafisadi, majizi na wazembe kazini wako salama kwani wanalindwa zaidi kuliko awamu nyingine yoyote ile!
Baada ya Freeman Mbowe kukutwa na kesi ya kujibu kuhusu ugaidi na kupanga njama za kuuwa viongozi wa serikali na kukaa jela kwa miezi 8, sasa Tundu Lisu nae yuko jela kwa kesi ya uhaini.
Nape na January Makamba wamebwagwa huko si mawaziri tena.
Paul Makonda ni mkuu wa mkoa tena.
Flyover mpya hakuna na uhamasishaji ujenzi wa viwanda Umedorora.
Bwawa la umeme limekamilika ujenzi wake lakini bei ya umeme iko juu vilevile.
Job Ndugai alifukuzwa uspika wa bunge baada ya kutoa ushauri wake kuhusu nchi kukopa hovyo.
Askofu Gwajima amefutiwa kanisa lake la Ufufuo na uzima kwa kosa la kuwakemea hadharani watekaji.
Ukiondoa watekaji, wauaji, mafisadi na wazembe kazini, hakuna mwingine mwenye furaha ndani ya nchi yetu.
Watekaji hawana chamaMaswa Yetu wewe ni msaka fursa hatari sana
Hueleweki ni popo au ndege
Jana ulikuwa unampeti-peti Samia. Ghafla leo unajifanya kulaani watekaji
Haina shaka yoyote kuwa wenzio waliotorokea CHAUMA a.k.a CHAKU - UMA wamekunyima mgawo na umeamua kupiga U-Turn
Mnafiki wewe!!
Wanakula kwa urefu wa kambaUtekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM 2020-2025 imerahisisha upatikanaji wa huduma za kijamii kama vile afya, maji, elimu n.k, huku shughuli za kiuchmi zikiongezeka na uhuru katika kufanya siasa umeboreshwa zaidi.
Kiufupi,
Tanazania imekua miongoni mwa mataifa ya Africa Mashariki salama na tulivu sana kwa uwekezaji, biashara, kilimo au ufugaji.
drama na upotoshaji vimekuwepo nchini , lakini daima vimekua vinapuuzwa na wananchi kwasabb ni uzushi mtupu wa vibaka na matapeli wa kisiasa wasio na agenda na waliopoteza uelekeo π
Hoja za mleta mada umezielewa au umeamua kuandika yako tu ilimradi umtetee chura kiziwi?Utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM 2020-2025 imerahisisha upatikanaji wa huduma za kijamii kama vile afya, maji, elimu n.k, huku shughuli za kiuchmi zikiongezeka na uhuru katika kufanya siasa umeboreshwa zaidi.
Kiufupi,
Tanazania imekua miongoni mwa mataifa ya Africa Mashariki salama na tulivu sana kwa uwekezaji, biashara, kilimo au ufugaji.
drama na upotoshaji vimekuwepo nchini , lakini daima vimekua vinapuuzwa na wananchi kwasabb ni uzushi mtupu wa vibaka na matapeli wa kisiasa wasio na agenda na waliopoteza uelekeo π
Hapo sawaNchi yetu inajisafisha.
Uchafu wote tulioupitia miaka ya hivi karibuni utatupwa nje.
Taifa jipya lenye heshima litazaliwa na kusonga mbele.
Hapa nchini ni kosa la jinai kulalamikia utekaji na mauaji lkn ni uzalendo kuyanyamazia matukio hayo.Ukiondoa watekaji, wauaji, mafisadi na wazembe kazini, hakuna mwingine mwenye furaha ndani ya nchi yetu.
zingatia maelezo, uchambuzi na ufafanuzi wa msingi hapo juu na kujiepusha na upotoshaji usio na maana yoyote gentleman πHoja za mleta mada umezielewa au umeamua kuandika yako tu ilimradi umtetee chura kiziwi?
Sasa tifanyaje,kazi iendelee au iwejee?Binafsi nilijua tutamkumbuka lakini siyo kwa haraka na mapema namna hii.
Nchi yetu sasa ni hatari zaidi kuwataja watekaji kuliko kuwa mtekaji, kuliko ujitokeze uwakemee wauaji utakamatwa na dola!!
Nchi yetu sasa ni hatari zaidi kuuchambua ufisadi ulioibuliwa na CAG kuliko kufanya ufisadi, yani sasa hivi ndani ya nchi yetu utalindwa na dola kwa kuambiwa kula kwa urefu wa kamba yako, lakini ukipinga ufisadi na kuwataja waliofanya ufisadi utaambiwa humpendi mama na serikali yake.
Ndani ya nchi yetu sasa hivi mafisadi, majizi na wazembe kazini wako salama kwani wanalindwa zaidi kuliko awamu nyingine yoyote ile!
Baada ya Freeman Mbowe kukutwa na kesi ya kujibu kuhusu ugaidi na kupanga njama za kuuwa viongozi wa serikali na kukaa jela kwa miezi 8, sasa Tundu Lisu nae yuko jela kwa kesi ya uhaini.
Nape na January Makamba wamebwagwa huko si mawaziri tena.
Paul Makonda ni mkuu wa mkoa tena.
Flyover mpya hakuna na uhamasishaji ujenzi wa viwanda Umedorora.
Bwawa la umeme limekamilika ujenzi wake lakini bei ya umeme iko juu vilevile.
Job Ndugai alifukuzwa uspika wa bunge baada ya kutoa ushauri wake kuhusu nchi kukopa hovyo.
Askofu Gwajima amefutiwa kanisa lake la Ufufuo na uzima kwa kosa la kuwakemea hadharani watekaji.
Ukiondoa watekaji, wauaji, mafisadi na wazembe kazini, hakuna mwingine mwenye furaha ndani ya nchi yetu.
Braza kuna picha inasemekana ni wewe kwa wadauπ πUtekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM 2020-2025 imerahisisha upatikanaji wa huduma za kijamii kama vile afya, maji, elimu n.k, huku shughuli za kiuchmi zikiongezeka na uhuru katika kufanya siasa umeboreshwa zaidi.
Kiufupi,
Tanazania imekua miongoni mwa mataifa ya Africa Mashariki salama na tulivu sana kwa uwekezaji, biashara, kilimo au ufugaji.
drama na upotoshaji vimekuwepo nchini , lakini daima vimekua vinapuuzwa na wananchi kwasabb ni uzushi mtupu wa vibaka na matapeli wa kisiasa wasio na agenda na waliopoteza uelekeo π
niemuhimu sana wananchi wote kuendelea kuinjoy matokeo ya utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM gentleman πWanakula kwa urefu wa kamba