Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
nani ana haja nae gentleman?🐒Gwajima yuko wapi
nani ana haja nae gentleman?🐒Gwajima yuko wapi
zingatia maelezo yangu kwa uzito unayostahili gentleman, ni muhimu sana 🐒Kwa kuwa mla kwq urefu wa kamba
Chadema chakavu mtaanzisha mada Hadi bilioni Moja za uzushi lakini kamwe hamtofanikiwa.Binafsi nilijua tutamkumbuka lakini siyo kwa haraka na mapema namna hii.
Nchi yetu sasa ni hatari zaidi kuwataja watekaji kuliko kuwa mtekaji, kuliko ujitokeze uwakemee wauaji utakamatwa na dola!!
Nchi yetu sasa ni hatari zaidi kuuchambua ufisadi ulioibuliwa na CAG kuliko kufanya ufisadi, yani sasa hivi ndani ya nchi yetu utalindwa na dola kwa kuambiwa kula kwa urefu wa kamba yako, lakini ukipinga ufisadi na kuwataja waliofanya ufisadi utaambiwa humpendi mama na serikali yake.
Ndani ya nchi yetu sasa hivi mafisadi, majizi na wazembe kazini wako salama kwani wanalindwa zaidi kuliko awamu nyingine yoyote ile!
Baada ya Freeman Mbowe kukutwa na kesi ya kujibu kuhusu ugaidi na kupanga njama za kuuwa viongozi wa serikali na kukaa jela kwa miezi 8, sasa Tundu Lisu nae yuko jela kwa kesi ya uhaini.
Nape na January Makamba wamebwagwa huko si mawaziri tena.
Paul Makonda ni mkuu wa mkoa tena.
Flyover mpya hakuna na uhamasishaji ujenzi wa viwanda Umedorora.
Bwawa la umeme limekamilika ujenzi wake lakini bei ya umeme iko juu vilevile.
Job Ndugai alifukuzwa uspika wa bunge baada ya kutoa ushauri wake kuhusu nchi kukopa hovyo.
Askofu Gwajima amefutiwa kanisa lake la Ufufuo na uzima kwa kosa la kuwakemea hadharani watekaji.
Ukiondoa watekaji, wauaji, mafisadi na wazembe kazini, hakuna mwingine mwenye furaha ndani ya nchi yetu.
niemuhimu sana wananchi wote kuendelea kuinjoy matokeo ya utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM gentleman 🐒
zingatia maelezo yangu kwa uzito unayostahili gentleman, ni muhimu sana 🐒
Walamba asali mnafurahia mno awamu hiiChadema chakavu mtaanzisha mada Hadi bilioni Moja za uzushi lakini kamwe hamtofanikiwa.
Tanzania itaendelea kusonga mbele bila kujali mayowe au maneno mbofu mbofu ya kibaka au tapeli yeyote wa kisiasa gentleman 🐒Walamba asali mnafurahia mno awamu hii
Mnasema hamtajali mayowe huku mkifungia makanisa. Jinga kabisa nyieTanzania itaendelea kusonga mbele bila kujali mayowe au maneno mbofu mbofu ya kibaka au tapeli yeyote wa kisiasa gentleman 🐒
Gentleman,Mnasema hamtajali mayowe huku mkifungia makanisa. Jinga kabisa nyie
ilani ya kuua watu kuteka wau kuwabambikia kesi za uongo?niemuhimu sana wananchi wote kuendelea kuinjoy matokeo ya utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM gentleman 🐒
hizo drama potofu ni useless gentleman 🐒ilani ya kuua watu kuteka wau kuwabambikia kesi za uongo?
Wewe ibirisi shetani wa ccm Dawa yenu ni kuvunja muungano ili mama Iddy Amin Dada mtesi Dikteta arudi kwao Zanzibarhizo drama potofu ni useless gentleman 🐒
hizo ramli na ushirikiana wako mkavifanye kwenye familia yako gentleman.Wewe ibirisi shetani wa ccm Dawa yenu ni kuvunja muungano ili mama Iddy Amin Dada mtesi Dikteta arudi kwao Zanzibar
Gwajima yuko wapi?hizo ramli na ushirikiana wako mkavifanye kwenye familia yako gentleman.
waTanzania tunasonga mbele pamoja 🐒
Ni mwaka wa uchaguzi huu. Ni mwendo wa kuzusha na kuchochea.Utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM 2020-2025 imerahisisha upatikanaji wa huduma za kijamii kama vile afya, maji, elimu n.k, huku shughuli za kiuchmi zikiongezeka na uhuru katika kufanya siasa umeboreshwa zaidi.
Kiufupi,
Tanazania imekua miongoni mwa mataifa ya Africa Mashariki salama na tulivu sana kwa uwekezaji, biashara, kilimo au ufugaji.
drama na upotoshaji vimekuwepo nchini , lakini daima vimekua vinapuuzwa na wananchi kwasabb ni uzushi mtupu wa vibaka na matapeli wa kisiasa wasio na agenda na waliopoteza uelekeo 🐒
I real wish this would become trueNchi yetu inajisafisha.
Uchafu wote tulioupitia miaka ya hivi karibuni utatupwa nje.
Taifa jipya lenye heshima litazaliwa na kusonga mbele.
tutawadhibiti wazushi na waropokaji wote wakiuka sheria kwa mujibu wa sheria.Ni mwaka wa uchaguzi huu. Ni mwendo wa kuzusha na kuchochea.