Hata waliolamba asali na kushangilia hawana furaha, pole sana Freeman Mbowe

Hata waliolamba asali na kushangilia hawana furaha, pole sana Freeman Mbowe

niemuhimu sana wananchi wote kuendelea kuinjoy matokeo ya utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM gentleman 🐒
Nielimishe,nilivyoelewa kwenu ilani inahimiza kula kwa urefu wa kamba ama sikumieleweni.Anayeelewa atusaidie tafadhali.Hii Gentlemad sii elewagi!
 
Mkuu wewe ni tumbo tu unajali kuna watu wanaingiza mara hata 10 ya pesa yako ila wanajali utu na haki
mimi sina pesa na wala sio tajiri, lakini pia sihitaji pesa na sina shida nazo,

nina hazina kubwa ya kueleza ukweli mtupu 🐒
 
mimi sina pesa na wala sio tajiri, lakini pia sihitaji pesa na sina shida nazo,

nina hazina kubwa ya kueleza ukweli mtupu 🐒
Ujinga tu ila kwasababu unafanya kwa sababu hauna akili nyingine ya kujiongeza mimi nakuunga mkono , familia kwanza🤔
 
Binafsi nilijua tutamkumbuka lakini siyo kwa haraka na mapema namna hii.

Nchi yetu sasa ni hatari zaidi kuwataja watekaji kuliko kuwa mtekaji, kuliko ujitokeze uwakemee wauaji utakamatwa na dola!!

Nchi yetu sasa ni hatari zaidi kuuchambua ufisadi ulioibuliwa na CAG kuliko kufanya ufisadi, yani sasa hivi ndani ya nchi yetu utalindwa na dola kwa kuambiwa kula kwa urefu wa kamba yako, lakini ukipinga ufisadi na kuwataja waliofanya ufisadi utaambiwa humpendi mama na serikali yake.

Ndani ya nchi yetu sasa hivi mafisadi, majizi na wazembe kazini wako salama kwani wanalindwa zaidi kuliko awamu nyingine yoyote ile!

Baada ya Freeman Mbowe kukutwa na kesi ya kujibu kuhusu ugaidi na kupanga njama za kuuwa viongozi wa serikali na kukaa jela kwa miezi 8, sasa Tundu Lisu nae yuko jela kwa kesi ya uhaini.

Nape na January Makamba wamebwagwa huko si mawaziri tena.

Paul Makonda ni mkuu wa mkoa tena.

Flyover mpya hakuna na uhamasishaji ujenzi wa viwanda Umedorora.

Bwawa la umeme limekamilika ujenzi wake lakini bei ya umeme iko juu vilevile.
Job Ndugai alifukuzwa uspika wa bunge baada ya kutoa ushauri wake kuhusu nchi kukopa hovyo.

Askofu Gwajima amefutiwa kanisa lake la Ufufuo na uzima kwa kosa la kuwakemea hadharani watekaji.

Ukiondoa watekaji, wauaji, mafisadi na wazembe kazini, hakuna mwingine mwenye furaha ndani ya nchi yetu.
Halafu hizi siasa za No Election. Wanakosea, unajitoa kwenye macho ya dunia wakati muhimu kuliko wote wa uhai wa chama siasa chochote.

Nilishauri unaweza kusema No Elections, no reform while unapinga uhuni wote wa system. Ukasaini maadili, ukapunguza kauli za kijinga kama utakinukisha.
Kuondoa kubambikiziwa kesi za uhuni, at least kupunguza kesi zisizo na msingi.

Lakini utapata jukwaa kuongea na Watanzania, dunia kuanzia July- October. Sasa Chadema pamoja na hoja zao zenye mashiko,muhimu kwa Taifa halitapata jukwaa mitaani kuongellewa. Hawatakuwa na wagombea. Own goal.
 
Utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM 2020-2025 imerahisisha upatikanaji wa huduma za kijamii kama vile afya, maji, elimu n.k, huku shughuli za kiuchmi zikiongezeka na uhuru katika kufanya siasa umeboreshwa zaidi.

Kiufupi,
Tanazania imekua miongoni mwa mataifa ya Africa Mashariki salama na tulivu sana kwa uwekezaji, biashara, kilimo au ufugaji.

drama na upotoshaji vimekuwepo nchini , lakini daima vimekua vinapuuzwa na wananchi kwasabb ni uzushi mtupu wa vibaka na matapeli wa kisiasa wasio na agenda na waliopoteza uelekeo 🐒
Hivi mtu akikupiga dole makalioni hivi huwa unakuwa huwa unajitoa akili hivihivi na kujifanya hujasikia au?
 
washupaza shingo na slow learners si mpaka mpigwe makwenzi ndio muelewe?🐒
Ila kwenzi liwe moja la kichwani na sii la watekaji kwa mtoa hoja za maslahi ya taifa,kutekwa,kupigwa,kuvunjwa,kunyanyaswa,kudhulumiwa na kuuwawa kwa hofu ,wivu na roho mbaya kwa watafuna injiii kwa kisingizio cha kula kwa kipimo cha urefu waaaakaaaambaa?
 
Utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM 2020-2025 imerahisisha upatikanaji wa huduma za kijamii kama vile afya, maji, elimu n.k, huku shughuli za kiuchmi zikiongezeka na uhuru katika kufanya siasa umeboreshwa zaidi.

Kiufupi,
Tanazania imekua miongoni mwa mataifa ya Africa Mashariki salama na tulivu sana kwa uwekezaji, biashara, kilimo au ufugaji.

drama na upotoshaji vimekuwepo nchini , lakini daima vimekua vinapuuzwa na wananchi kwasabb ni uzushi mtupu wa vibaka na matapeli wa kisiasa wasio na agenda na waliopoteza uelekeo 🐒
Nenda morogoro mjini uliozungukwa na vyanzo vingi vya maji ila wananchi wake wanahangaika na ndoo na maji ya mitaroni.
 
Nenda morogoro mjini uliozungukwa na vyanzo vingi vya maji ila wananchi wake wanahangaika na ndoo na maji ya mitaroni.
Ilani mpya ya uchaguzi ya mwaka huu 2025-2030 imeeleza vyema namna ya kutatua tatizo hilo kabisa morogoro 🐒
 
Back
Top Bottom