Hata waliolamba asali na kushangilia hawana furaha, pole sana Freeman Mbowe

zingatia maelezo muhimu sana hapo juu, jiepushe na upotoshaji nonsense gentleman na itakusaiadia sana πŸ’
Wewe hauna uwezo wa kunisaidia mimi kwa chochote , unaelewa maana ya chochote lakini?
 
niemuhimu sana wananchi wote kuendelea kuinjoy matokeo ya utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM gentleman πŸ’
Nielimishe,nilivyoelewa kwenu ilani inahimiza kula kwa urefu wa kamba ama sikumieleweni.Anayeelewa atusaidie tafadhali.Hii Gentlemad sii elewagi!
 
Nielimishe,nilivyoelewa kwenu ilani inahimiza kula kwa urefu wa kamba ama sikumieleweni.Anayeelewa atusaidie tafadhali.Hii Gentlemad sii elewagi!

washupaza shingo na slow learners si mpaka mpigwe makwenzi ndio muelewe?πŸ’
 
Mkuu wewe ni tumbo tu unajali kuna watu wanaingiza mara hata 10 ya pesa yako ila wanajali utu na haki
mimi sina pesa na wala sio tajiri, lakini pia sihitaji pesa na sina shida nazo,

nina hazina kubwa ya kueleza ukweli mtupu πŸ’
 
mimi sina pesa na wala sio tajiri, lakini pia sihitaji pesa na sina shida nazo,

nina hazina kubwa ya kueleza ukweli mtupu πŸ’
Ujinga tu ila kwasababu unafanya kwa sababu hauna akili nyingine ya kujiongeza mimi nakuunga mkono , familia kwanzaπŸ€”
 
Halafu hizi siasa za No Election. Wanakosea, unajitoa kwenye macho ya dunia wakati muhimu kuliko wote wa uhai wa chama siasa chochote.

Nilishauri unaweza kusema No Elections, no reform while unapinga uhuni wote wa system. Ukasaini maadili, ukapunguza kauli za kijinga kama utakinukisha.
Kuondoa kubambikiziwa kesi za uhuni, at least kupunguza kesi zisizo na msingi.

Lakini utapata jukwaa kuongea na Watanzania, dunia kuanzia July- October. Sasa Chadema pamoja na hoja zao zenye mashiko,muhimu kwa Taifa halitapata jukwaa mitaani kuongellewa. Hawatakuwa na wagombea. Own goal.
 
Hivi mtu akikupiga dole makalioni hivi huwa unakuwa huwa unajitoa akili hivihivi na kujifanya hujasikia au?
 
washupaza shingo na slow learners si mpaka mpigwe makwenzi ndio muelewe?πŸ’
Ila kwenzi liwe moja la kichwani na sii la watekaji kwa mtoa hoja za maslahi ya taifa,kutekwa,kupigwa,kuvunjwa,kunyanyaswa,kudhulumiwa na kuuwawa kwa hofu ,wivu na roho mbaya kwa watafuna injiii kwa kisingizio cha kula kwa kipimo cha urefu waaaakaaaambaa?
 
mimi sina pesa na wala sio tajiri, lakini pia sihitaji pesa na sina shida nazo,

nina hazina kubwa ya kueleza ukweli mtupu πŸ’
Kwa kuwa mla kwq urefu wa kamba
 
Nenda morogoro mjini uliozungukwa na vyanzo vingi vya maji ila wananchi wake wanahangaika na ndoo na maji ya mitaroni.
 
Nenda morogoro mjini uliozungukwa na vyanzo vingi vya maji ila wananchi wake wanahangaika na ndoo na maji ya mitaroni.
Ilani mpya ya uchaguzi ya mwaka huu 2025-2030 imeeleza vyema namna ya kutatua tatizo hilo kabisa morogoro πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…