Hata waliolamba asali na kushangilia hawana furaha, pole sana Freeman Mbowe

Chadema chakavu mtaanzisha mada Hadi bilioni Moja za uzushi lakini kamwe hamtofanikiwa.
 
Tanzania itaendelea kusonga mbele bila kujali mayowe au maneno mbofu mbofu ya kibaka au tapeli yeyote wa kisiasa gentleman πŸ’
Mnasema hamtajali mayowe huku mkifungia makanisa. Jinga kabisa nyie
 
Mnasema hamtajali mayowe huku mkifungia makanisa. Jinga kabisa nyie
Gentleman,
taasisi zote zinazokiuka misingi ya kisheria ya kuanzishwa kwake zitafungwa mara moja bila mbambamba yoyote πŸ’
 
Muungano ufe Tanganyika idai uhuru wake
 
niemuhimu sana wananchi wote kuendelea kuinjoy matokeo ya utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM gentleman πŸ’
ilani ya kuua watu kuteka wau kuwabambikia kesi za uongo?
 
ibirisi wa ccm wametoka kuvuta Bangi Ghetto kwa Amos makala mkwapuaji wa bilion 15 kazi maalum wamechukua pesa za walipa kodi kuja kusumbua watu mitandaoni kuwatetea mashetani wa ccm
 
Wewe ibirisi shetani wa ccm Dawa yenu ni kuvunja muungano ili mama Iddy Amin Dada mtesi Dikteta arudi kwao Zanzibar
hizo ramli na ushirikiana wako mkavifanye kwenye familia yako gentleman.
waTanzania tunasonga mbele pamoja πŸ’
 
Ni mwaka wa uchaguzi huu. Ni mwendo wa kuzusha na kuchochea.
 
Ni mwaka wa uchaguzi huu. Ni mwendo wa kuzusha na kuchochea.
tutawadhibiti wazushi na waropokaji wote wakiuka sheria kwa mujibu wa sheria.

kama wamechoka na amani ya Tanzania wakajiunge na m23 huko Congo, but TZ tutawanyorosha vizuri sana wapende wasipende πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…