Maswa Yetu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2023
- 1,398
- 2,619
- Thread starter
-
- #61
Kama mlivyowanyoosha Mdude na Kibao?tutawadhibiti wazushi na waropokaji wote wakiuka sheria kwa mujibu wa sheria.
kama wamechoka na amani ya Tanzania wakajiunge na m23 huko Congo, but TZ tutawanyorosha vizuri sana wapende wasipende 🐒
MBOWE na apewe pole sana kwa kitita alichokuwa amepewa ipo siku kila kitu kitakuwa wazi satellite si zipo wazee zinakusanya matukio tu.Binafsi nilijua tutamkumbuka lakini siyo kwa haraka na mapema namna hii.
Nchi yetu sasa ni hatari zaidi kuwataja watekaji kuliko kuwa mtekaji, kuliko ujitokeze uwakemee wauaji utakamatwa na dola!!
Nchi yetu sasa ni hatari zaidi kuuchambua ufisadi ulioibuliwa na CAG kuliko kufanya ufisadi, yani sasa hivi ndani ya nchi yetu utalindwa na dola kwa kuambiwa kula kwa urefu wa kamba yako, lakini ukipinga ufisadi na kuwataja waliofanya ufisadi utaambiwa humpendi mama na serikali yake.
Ndani ya nchi yetu sasa hivi mafisadi, majizi na wazembe kazini wako salama kwani wanalindwa zaidi kuliko awamu nyingine yoyote ile!
Baada ya Freeman Mbowe kukutwa na kesi ya kujibu kuhusu ugaidi na kupanga njama za kuuwa viongozi wa serikali na kukaa jela kwa miezi 8, sasa Tundu Lisu nae yuko jela kwa kesi ya uhaini.
Nape na January Makamba wamebwagwa huko si mawaziri tena.
Paul Makonda ni mkuu wa mkoa tena.
Flyover mpya hakuna na uhamasishaji ujenzi wa viwanda Umedorora.
Bwawa la umeme limekamilika ujenzi wake lakini bei ya umeme iko juu vilevile.
Job Ndugai alifukuzwa uspika wa bunge baada ya kutoa ushauri wake kuhusu nchi kukopa hovyo.
Askofu Gwajima amefutiwa kanisa lake la Ufufuo na uzima kwa kosa la kuwakemea hadharani watekaji.
Ukiondoa watekaji, wauaji, mafisadi na wazembe kazini, hakuna mwingine mwenye furaha ndani ya nchi yetu.
Maelezo mepesi hayawezi kupewa uzito ila wepesi wa viwango vya chini zaidizingatia maelezo yangu kwa uzito unayostahili gentleman, ni muhimu sana 🐒
puuzia at your own risk,Maelezo mepesi hayawezi kupewa uzito ila wepesi wa viwango vya chini zaidi
Inasikitisha sanaMBOWE na apewe pole sana kwa kitita alichokuwa amepewa ipo siku kila kitu kitakuwa wazi satellite si zipo wazee zinakusanya matukio tu.
It is going to be true. Tanzania is too precious to simply let it fail.I real wish this would become true
KMNYKUtekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM 2020-2025 imerahisisha upatikanaji wa huduma za kijamii kama vile afya, maji, elimu n.k, huku shughuli za kiuchmi zikiongezeka na uhuru katika kufanya siasa umeboreshwa zaidi.
Kiufupi,
Tanazania imekua miongoni mwa mataifa ya Africa Mashariki salama na tulivu sana kwa uwekezaji, biashara, kilimo au ufugaji.
drama na upotoshaji vimekuwepo nchini , lakini daima vimekua vinapuuzwa na wananchi kwasabb ni uzushi mtupu wa vibaka na matapeli wa kisiasa wasio na agenda na waliopoteza uelekeo 🐒
Who is/are the one(s) not to let that happen???It is going to be true. Tanzania is too precious to simply let it fail.
No time to relaxrelax and calm down gentleman,
mayhem are nonsense
Stakeholders of this nation, including you.Who is/are the one(s) not to let that happen???
Sisi hawa hawa wanaotuchinjilia mbali kila siku mkuu??Stakeholders of this nation, including you.
Ndio.Sisi hawa hawa wanaotuchinjilia mbali kila siku mkuu??
Tunadidimizwa na chawa na wafuga chawa,watekaji na wauaji.puuzia at your own risk,
kama taifa tunasonga mbele kwa umoja
Inasikitisha sanaTunadidimizwa na chawa na wafuga chawa,watekaji na wauaji.
Mbowe hajalamba asaliBinafsi nilijua tutamkumbuka lakini siyo kwa haraka na mapema namna hii.
Nchi yetu sasa ni hatari zaidi kuwataja watekaji kuliko kuwa mtekaji, kuliko ujitokeze uwakemee wauaji utakamatwa na dola!!
Nchi yetu sasa ni hatari zaidi kuuchambua ufisadi ulioibuliwa na CAG kuliko kufanya ufisadi, yani sasa hivi ndani ya nchi yetu utalindwa na dola kwa kuambiwa kula kwa urefu wa kamba yako, lakini ukipinga ufisadi na kuwataja waliofanya ufisadi utaambiwa humpendi mama na serikali yake.
Ndani ya nchi yetu sasa hivi mafisadi, majizi na wazembe kazini wako salama kwani wanalindwa zaidi kuliko awamu nyingine yoyote ile!
Baada ya Freeman Mbowe kukutwa na kesi ya kujibu kuhusu ugaidi na kupanga njama za kuuwa viongozi wa serikali na kukaa jela kwa miezi 8, sasa Tundu Lisu nae yuko jela kwa kesi ya uhaini.
Nape na January Makamba wamebwagwa huko si mawaziri tena.
Paul Makonda ni mkuu wa mkoa tena.
Flyover mpya hakuna na uhamasishaji ujenzi wa viwanda Umedorora.
Bwawa la umeme limekamilika ujenzi wake lakini bei ya umeme iko juu vilevile.
Job Ndugai alifukuzwa uspika wa bunge baada ya kutoa ushauri wake kuhusu nchi kukopa hovyo.
Askofu Gwajima amefutiwa kanisa lake la Ufufuo na uzima kwa kosa la kuwakemea hadharani watekaji.
Ukiondoa watekaji, wauaji, mafisadi na wazembe kazini, hakuna mwingine mwenye furaha ndani ya nchi yetu.
Yeye mwenyewe alikiri kulamba asaliMbowe hajalamba asali
Mbowe mmemfitinisha Kwa kupitia ccm nq sasa mmeua chama
Please share the evidenceYeye mwenyewe alikiri kulamba asali