Hata wanaume hulia

Mpenzi wangu niliyempenda sana aliniambia nimempa mimba. Akapima nikathibitisha kuwa ana mimba. Nilimwahidi kulea hiyo mimba, nilimwambia uwezo, sababu na nia ya kulea hiyo mimba NINAZO. Baada ya mwezi mmoja tu aliitoa ile mimba. Niliumia sana, nilijuta sana, nililia sana. Sikuwahi kulia kabla lakini niliililia ile mimba. Hadi leo nikikumbuka machozi hunitoka.
 
Sababu za kufanya hivyo ninini?[emoji848][emoji3064][emoji25]
 
Hakunaga kitu ka hcho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…