Hata wanaume hulia

Hata wanaume hulia

Mpenzi wangu niliyempenda sana aliniambia nimempa mimba. Akapima nikathibitisha kuwa ana mimba. Nilimwahidi kulea hiyo mimba, nilimwambia uwezo, sababu na nia ya kulea hiyo mimba NINAZO. Baada ya mwezi mmoja tu aliitoa ile mimba. Niliumia sana, nilijuta sana, nililia sana. Sikuwahi kulia kabla lakini niliililia ile mimba. Hadi leo nikikumbuka machozi hunitoka.
 
Sababu za kufanya hivyo ninini?[emoji848][emoji3064][emoji25]
 
Screenshot_20220119-120306.jpg
 
Obama jamani siku ile anaaga white house alimimimika chozi dah ilinigusa

kuna wanaume wanapenda wake zao asikwambie mtu.

Wanawake tunalia sana hasa kwa kuumizwa na wanaume .

Ukiona mwanamke analia kwa ajiri yako jua ipo siku nawe utalia kwa uchungu
Hakunaga kitu ka hcho
 
Back
Top Bottom