Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha
Sitapata hiyo nguvu ya kukimbia, nitakusadia kulia tena nitalia kuliko wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha
Sitapata hiyo nguvu ya kukimbia, nitakusadia kulia tena nitalia kuliko wewe
Bibie una huruma,yaani now nimekaa machozi yananitoka,ungekuwepo ukalia ningefarijika[emoji24]Nione yooote, ila sii mwanaume akilia jamani...
Inauma, huwa naumia seriously hata kama Simjui nitajikuta nami nalia
Hahaa hivi huyu mzee yupo..yaani alipiga ukunga bungeni kama mtoto kachomwa na mwibaGhafla nimemkumbuka mizengo pinda.....
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji779] [emoji779] [emoji779]Obama jamani siku ile anaaga white house alimimimika chozi dah ilinigusa
kuna wanaume wanapenda wake zao asikwambie mtu.
Wanawake tunalia sana hasa kwa kuumizwa na wanaume .
Ukiona mwanamke analia kwa ajiri yako jua ipo siku nawe utalia kwa uchungu
Powerful comment![]()
Sure and perfectly, men do cry, even when they know their forgery av bn discovered. Tear of sympathy. [emoji27] [emoji27] [emoji22] [emoji22]
Pole mwayaBibie una huruma,yaani now nimekaa machozi yananitoka,ungekuwepo ukalia ningefarijika[emoji24]
[emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji779]huu uzi aisee umenipa huzuni sana.. kuna siku nilijikuta nalia mbele za watu tena kwa kusikika kabisa baada ya kuona mwili wa rafik yangu kipenz ukiwekwa kuagwa... iliniuma sana... tena sana.. sipendi kulia ila nilishindwa!
[emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144].don't take them for granted....
hahaha,,mshana bana,,