Hata wanaume hulia

Hata wanaume hulia

lol Mie kitu kikinikera au hata mtoto nikimwambia kitu ana rudia kufanya kosa pia sometime nalia..,hua sipendi tafran,mwanangu akiumwa nalia,tena nikiwa kuna kitu kimetokea kimenigusa au mtu kanionea wallah i remember my Mom naliaaaaaaaa,nasema ulipokuwepo hakuna mtu alikua ananionea na daima ulikua unani comfort leo i have zaidi ya mwenyezi mungu sijamuna wakumpa siri yangu wala kumwambia how i feel,ndio naliaaaa nikimaliza nafura machozi naenda kusali mwenyezi mungu aniongezee subra na aniondolee kila zito ndani ya kifua changu niweze kuhimili...
 
80b2460ef34332546b6c97271bc411da.jpg
Encouraging msgs thanks kaka
 
Nione yooote, ila sii mwanaume akilia jamani...

Inauma, huwa naumia seriously hata kama Simjui nitajikuta nami nalia
Bibie una huruma,yaani now nimekaa machozi yananitoka,ungekuwepo ukalia ningefarijika[emoji24]
 
Obama jamani siku ile anaaga white house alimimimika chozi dah ilinigusa

kuna wanaume wanapenda wake zao asikwambie mtu.

Wanawake tunalia sana hasa kwa kuumizwa na wanaume .

Ukiona mwanamke analia kwa ajiri yako jua ipo siku nawe utalia kwa uchungu
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji779] [emoji779] [emoji779]
 
huu uzi aisee umenipa huzuni sana.. kuna siku nilijikuta nalia mbele za watu tena kwa kusikika kabisa baada ya kuona mwili wa rafik yangu kipenz ukiwekwa kuagwa... iliniuma sana... tena sana.. sipendi kulia ila nilishindwa!
 
[emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji779]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kawaida!
Kwangu mimi hutoa machozi nikiwa mazingira ya peke yangu nisionekane au usiku ninapolala hivyo inakua kimya kimya na amna wakujua

"mwanaume mashine"
 
Back
Top Bottom