Hata Yanga Mkifanya Mchezo, kesho mnapasuka, no joke

Hata Yanga Mkifanya Mchezo, kesho mnapasuka, no joke

Jana nilikuona maeneo ya mbagala umezima, shida ilikuwa nini ?
Shida ni hii
FB_IMG_1711755126486.jpg
 
Haya ndio Maneno yenu na mtakuja tena hapa tumekufa kiume. Mpira mkubwa hauhitaji kucheza vyema, mpira mkubwa unahitaji matokeo full stop .

Goli mmefungwa dakika ya 5 , daki tisini nzima mmeshindwa kurudisha hata goli moja?

Kufungwa ni kawaida ni sehemu ya mpira but did you come back ? Mnaruka ruka tu na forward butu isiyokuwa strategically , 7 chances no goal , how do you say mna mshambuliaji?

shida mnaokota wachezaji wanaokuja kujifunzia mechi kubwa kwenu, mnatakiwa kuchukua wachezaji wenye uwezo na experience kwa match za CAF, vunjeni mikataba wachezaji wa maana wapo wengi Africa .

Niliwahi kuwaambia you can’t solve problems kwa kutumia the same level of people . SSC robo fainal kwenu sio tatizo tena , ni robo fainal ya 6 consecutively , na hakuna hata moja hata kwa bahati mbaya mliwahi kuvuka hapo; tuna conclude nini ?

Mnahitaji wachezaji sasa hata watatu wenye uwezo wa kuwavusha hapo. Level ya wachezaji mnao nunua sio tatizo tena kwao kufika robo fainal . Tatizo ni kutoka robo kwenda Mbele , shida ipo hapo.

Sasa watafutwe wengine hata 3 , mshambuliaji ambaye katika chance 3 anapata mbili, tunaita accuracy , kiungo wa maana na beki ya maana ili waweze kusaidiana na hao waliokiwepo.

Tatizo ikiingia sokoni inakuja na wachezaji level ile ile. That means haijifunzi.

Muda mwingi unapotezwa kwenye social media. Mpira ni investment.Na kwa kuwa viongozi ni mbumbumbu, hamjui ni kiasi gani cha fedha mnapoteza kwa kushindwa kufika nusu fainal .

Timu kubwa zimekuwa financial stable kwa sababu mara kwa mara zinafika hadi fainal , mpunga wanapata mkubwa.

Ila SSC nawaambia, msiwe na shaka, huu mwiko wa kuishia robo fainal klabu bingwa UTAKUJA KUBIKIRIWA na Yanga. Mimi ni Shabiki wa SSC, lakini nina iman sna na consistency ya Yanga na itakuwa ni timu ya ushindani Africa
Mkuu mimi ni Yanga,Watani wakicheza vizuri nasema sasa mimi kuwasifia Simba ushanipeleka kwa makolo shida ipo wapi sisi wengine tumeanza kufatilia mpira toka enzi za kina Selestine sikinde Mbunga mpira kwa sasa hivi umekua yaani Timu zetu ndio zinashambulia vile wakati tulishazoea wao wakija wana uhakika wa ushindi na mpira wanacheza wao kwa jana Simba ilitawala kiungo mpaka pale walipofanya sub za kina Percy Tau na Modeste ndio Waarabu nao wakaanza kushika mpira...
 
Sasa timu zetu zinashindwaje kuifunga timu iliyojichokea
Hawana Timu ya kucheza ndio maana hii Timu wakikutana na Timu inayojielewa wanafungwa nyingi walipocheza na CRB kipa wao ndio alikua man of the match..
 
Na wale mashabiki waliopata ajali sijui wanaendeleaje
Inauma watu wanapata majanga,na bado timu inashindwa kupambana kushinda.

Mungu awape uponyaji wa haraka majeruhi wote.
Waligundua wakicheza wangewapa nafasi nyingi simba hivyo wao wakaamua kukaa ktk njia za mpira
 
Hawana Timu ya kucheza ndio maana hii Timu wakikutana na Timu inayojielewa wanafungwa nyingi walipocheza na CRB kipa wao ndio alikua man of the match..

Kama hawana timu ya kucheza. Mbona karibu kila msimu ubingwa wa africa wanabeba wao ? Ndani ya miaka minne hii wametwaa ubingwa wa africa mara 3. Halafu unasema hawana timu ya kucheza ?
 
Mpira wa Tz unachonikera ni kelele nyingi
Yaani kuna ujinga mwingi sana mdomoni...
Ndicho hiki kinachonifanya nisipende kufuatilia mpira wa Tz.
Wale wasemaji wa timu wanaongea kama wanaimba taarabu,upumbavu mtupu.
Timu zetu ni za kawaida kuliko kelele tunazopiga...
 
Kama hawana timu ya kucheza. Mbona karibu kila msimu ubingwa wa africa wanabeba wao ? Ndani ya miaka minne hii wametwaa ubingwa wa africa mara 3. Halafu unasema hawana timu ya kucheza ?
Kocha wa Mamelodi wiki iliyopita kasema anaomba pia nao Mamelodi wawe na bahati kama Al Ahly maana hawana Timu ila wanakua mabingwa zipo Timu bora za kuchukua Ubingwa ila sio Al Ahly...Timu bora ichezewe mpira na kina Kibu Denis kweli..angalieni baadae saa kumi Mazembe vs Petro ya Luanda...
 
Mpira wa Tz unachonikera ni kelele nyingi
Yaani kuna ujinga mwingi sana mdomoni...
Ndicho hiki kinachonifanya nisipende kufuatilia mpira wa Tz.
Wale wasemaji wa timu wanaongea kama wanaimba taarabu,upumbavu mtupu.
Ushaona hicho kitu kwenye hizo Timu mtu anawaaminisha watu kuwa tuanze kushangilia kuanzia goli la tatu wakati kupata goli moja tu ni mtihani kwenye haya mashindano...mechi moja ya Mamelodi vs Al Ahly walicheza dakika 180 pamoja na za nyongeza mechi mbili alikufa Al Ahly goli moja tuu harafu anatokea mtu akiwaaminisha watu wake kuwa Al Ahly wataifunga kama Galaxy...
 
Na Cha kushangaza kuna watu bado wanawasikiliza😂😂😂😂😂😂
 
Na wale mashabiki waliopata ajali sijui wanaendeleaje
Inauma watu wanapata majanga,na bado timu inashindwa kupambana kushinda.

Mungu awape uponyaji wa haraka majeruhi wote.
Wale hasa yule marehemu alale mahali pema...majeruhi mungu awape pole
 
Hata tukifungwa hatuwezi kutukana matusi viongozi wetu maana mpira Una matokeo matatu
 
Mkuu mimi ni Yanga,Watani wakicheza vizuri nasema sasa mimi kuwasifia Simba ushanipeleka kwa makolo shida ipo wapi sisi wengine tumeanza kufatilia mpira toka enzi za kina Selestine sikinde Mbunga mpira kwa sasa hivi umekua yaani Timu zetu ndio zinashambulia vile wakati tulishazoea wao wakija wana uhakika wa ushindi na mpira wanacheza wao kwa jana Simba ilitawala kiungo mpaka pale walipofanya sub za kina Percy Tau na Modeste ndio Waarabu nao wakaanza kushika mpira...

Kaka haya mambo zamani ilikuwa hivi au vile, therefore we are improving nadhan unakosea.

Mpira ni INVESTMENT achana na story ; kuwe na proper investment as well as accountability structure kwa viongozi. Sio kwa wachezaji na makocha tu

Hata Maalim Benchika amelala mika kuwa changamoto kubwa ni ukosefu wa wachezaji wenye quality ambao in 6 chances , wanaweza kutumia 3 .

I am sure Maalim kama angekuwa na timu yenye washambuliaji wawili tu wenye quality ya CAF , trust me this time around , Ahly angetokea robo fainal. But tutaongea hapa yatapita, then njoo kipindi cha Usajili utashika kichwa . Ahmed Chizi ataanza kufanya promotion. Mchezaji mzuri haitaji promotion yoyote

Kwangu mimi Maalim ndio man of the match , ame itransform snaa SSC, hata Yanga wategemee upinzan wa dhati kwenye game ya marudiano
 
Timu zetu ni za kawaida kuliko kelele tunazopiga...

Wewe utafika mbali. SSC na YANGA wana social media game sana. Ndio maana hata wasemaji wao wote ni vichaa. Angalia promotion za Mamelodi au National Ahly…. Very normal but they have huge investments.

Njoo kwetu, social media football, sio wakati wetu tena
Wafanye investment
 
Back
Top Bottom