Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida yenu mnataka Timu ziwe vizuri wakati hao wakina Karia hakuna hata kitu wanajua ubora wa Timu unaanzia kwenye uongozi unaowasimamia wakiwa sawa sio kwa madudu ya TFF harafu mtegemee Mirambo Tabora watakuwa professional hao Mamelodi mpaka kuwa sawa pana vitu vingi wamepata kutoka SAFA sasa huku hizi Timu hata hivyo zinajitahidi sana maana viongozi wao wanajihangaikia wenyewe tu...Kaka haya mambo zamani ilikuwa hivi au vile, therefore we are improving nadhan unakosea.
Mpira ni INVESTMENT achana na story ; kuwe na proper investment as well as accountability structure kwa viongozi. Sio kwa wachezaji na makocha tu
Hata Maalim Benchika amelala mika kuwa changamoto kubwa ni ukosefu wa wachezaji wenye quality ambao in 6 chances , wanaweza kutumia 3 .
I am sure Maalim kama angekuwa na timu yenye washambuliaji wawili tu wenye quality ya CAF , trust me this time around , Ahly angetokea robo fainal. But tutaongea hapa yatapita, then njoo kipindi cha Usajili utashika kichwa . Ahmed Chizi ataanza kufanya promotion. Mchezaji mzuri haitaji promotion yoyote
Kwangu mimi Maalim ndio man of the match , ame itransform snaa SSC, hata Yanga wategemee upinzan wa dhati kwenye game ya marudiano
Mamelodi kwenye makaratasi ni kwamba wao wanashinda kwa kuwa wana wachezaji kama ulivyo wataja hapo ila mpira una mambo mengi sana hasa kwa hizi Timu ambazo nazo kwa kiwango fulani wamenunua Nje ingawaje sio kwa wachezaji wa kiwango cha juu ila hao hao wanaweza wakacheza mpira na kushinda hiyo ni kwenye Pitch ila on Paper Mamelodi wapo sawa sana kuliko sisi Yanga ila naamini kwa ubora walionao Yanga kwa sasa wanaweza kukabiliana na Mamelodi ambayo ipo juu zaidi yetu..Upo sahihi uwekezaji kuanzia benchi la ufundi Mpaka wachezaji ni jambo la muhimu sana , Mpaka mwaka Jana yanga ilikuwa namba 5 klanu bora za msimu uliopita za caf , Mamelodi ikiwa namba 2.
Lakini ukiangalia mamelodi inayotoa wachezaji 9 wa bafana bafana walioshika namba 3 Afcon Nakosa matumaini ya young Africans kushinda hatua hii ya Robo fainali .
Pale mbele mamelodi wana mu uruguay , mu argentina , m Chile wote ni wa viwango na gharama kubwa ,young Africans kuna mzize , guede , musinda , shehan tofauti ni kubwa Mpira ni matokeo sio siasa za ahmed Ali .
Nitafurahi yanga akivuka lakini sio hii ikitokea labda kwa muujiza.
Mkuu hapana angalia leo mamelodi watakavyocheza au Petro saa kumi harafu uendelee kuongea unachoongea wale jamaa wapo Unga sana bhana hatuhutaji Viswahili vingi vya kuwapamba watu wanapoteza mipira hovyo na mingine inawagonga kama Maveterani harafu unasema walikua wanakaa kwenye njia hii hapana...Waligundua wakicheza wangewapa nafasi nyingi simba hivyo wao wakaamua kukaa ktk njia za mpira
Shida yenu mnataka Timu ziwe vizuri wakati hao wakina Karia hakuna hata kitu wanajua ubora wa Timu unaanzia kwenye uongozi unaowasimamia wakiwa sawa sio kwa madudu ya TFF harafu mtegemee Mirambo Tabora watakuwa professional hao Mamelodi mpaka kuwa sawa pana vitu vingi wamepata kutoka SAFA sasa huku hizi Timu hata hivyo zinajitahidi sana maana viongozi wao wanajihangaikia wenyewe tu...
Timu zivae jezi zenye Rebo kama Adidas,Puma au Nike hizi mambo za kuvalishana jezi hazina hata viwango kisa wachache wapige pesa mnataka Timu na Wachezaji wa level ipi?
Wachezaji wa Timu zetu wanalipwa mishahara tu ila hakuna hata % wanayopata kutokana na mauzo ya Jezi zao kwa mfumo huu tutakua na Wachezaji walioachwa ili waje wamalize muda wao maisha yaende...
Ok 👍Mkuu hapana angalia leo mamelodi watakavyocheza au Petro saa kumi harafu uendelee kuongea unachoongea wale jamaa wapo Unga sana bhana hatuhutaji Viswahili vingi vya kuwapamba watu wanapoteza mipira hovyo na mingine inawagonga kama Maveterani harafu unasema walikua wanakaa kwenye njia hii hapana...
Simba hatuulizani vyetiNaambiwa Ahmed Chizi kaja na mpya, kwamba ataenda kufanya maajabu Cairo , huyu jamaa alisoma Hadi level gani?
Wachawi (wizards) wengi muda huu wamefungua vilinge vyao wanaroga Yanga ifungwe Ila niwaambiaje hawatoamini macho yaosiamini katika uchawi na maisha sio rahisi hivyo.
Mimi Simba SC fan umeongea points.Mimi ni muumini wa Investment kwenye Soka, ninaimba sana hapa JF, siamini katika uchawi na maisha sio rahisi hivyo.
Siamini porojo za media zinazofanywa na SSC na Yanga.
Naamini katika pure investment kwenye watu wenye uwezo. There is no way Yanga anaweza kumtoa Mamelodi hata kama Kesho atashinda goli 1. Chances ni ndogo but it can be done.
Hivyo hivyo kwa SSC hata kama angeshinda, there is no way atamtoa Ahly.
hajawahi kufanya hivyo na sio mara ya kwanza kuchezea nae hatua hii, sisi watu wa probability tunasema Common things happen commonly , asimilimia 97 , Simba atatolewa kama kawaida.
The knocking stage huwa inaamuliwa na uwezo binafsi wa wachezaji.
Angalau Yanga ameshaona a glimpse, Yanga anaweza kuja kuwa timu ya ushindani in the near future barani Aftica kwa sababu huwa wanatulia sana kwenye sajili na wnaatumia hela.
Unlike SSC, haina cha kujifunza na mwendo ni uleule wa kufa kiume.
Yanga ndio robo yake ya kwanza tangu 98, hata akitoka naamini watakuwa wamejifunza kitu, tofauti SSC .
Siwezi kuijadili SSC wala kuipa ushauri, ni timu inayoongozwa na mbumbumbu na wapo kwenye comforts zone yao na pia hawana accountability structure kwa viongozi.
mashabiki wa mbumbumbu mkipiga snaa kelele, atafukuzwa kocha, au baadhi ya wachezaji watatolewa kafara kama kina baleke na phiri, mtaletewa uharo, ataitwa Ahmed Chizi awafanyie promo….. imeisha.
But the real problem halipo hapo, the real problem ni management ya SSC and these people need to get out.
Nasema na nyinyi Yanga, ili muweze kuamua mechi kama hizi za knocking out , ni lazima muwe na wachezaji angalau 3 wenye uwezo binafsi na hapo pesa inawatoka sio wale ambao wamekosa timu wapo wapo kama wanavofanya mambumbumbu.
Ninaamini uwezo wa Said , kama Rais wa Yanga, he is always a good learner.
Naambiwa Ahmed Chizi kaja na mpya, kwamba ataenda kufanya maajabu Cairo , huyu jamaa alisoma Hadi level gani?
Kama uliangalia mipira ya Tz ya miaka ya 80-90 sikushangai kutoa comment kenge namna hii. Kwamba Al ahly walizidiwa na Simba hiii[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu mimi ni Yanga,Watani wakicheza vizuri nasema sasa mimi kuwasifia Simba ushanipeleka kwa makolo shida ipo wapi sisi wengine tumeanza kufatilia mpira toka enzi za kina Selestine sikinde Mbunga mpira kwa sasa hivi umekua yaani Timu zetu ndio zinashambulia vile wakati tulishazoea wao wakija wana uhakika wa ushindi na mpira wanacheza wao kwa jana Simba ilitawala kiungo mpaka pale walipofanya sub za kina Percy Tau na Modeste ndio Waarabu nao wakaanza kushika mpira...
Mbona sioni huo mpira wa viwango wa Petros de Luanda na TP Mazembe? Wana cheza tU kama mechi ya kirafiki. Yanga na Simba zikiwekeza vizuri kwenye wachezaji wa viwango na uongozi ni miongoni mwa timu bora kabisa hapa Afrika. Hawa mnaowasifia ni timu za kawaida sana kwa sasa.Kocha wa Mamelodi wiki iliyopita kasema anaomba pia nao Mamelodi wawe na bahati kama Al Ahly maana hawana Timu ila wanakua mabingwa zipo Timu bora za kuchukua Ubingwa ila sio Al Ahly...Timu bora ichezewe mpira na kina Kibu Denis kweli..angalieni baadae saa kumi Mazembe vs Petro ya Luanda...