Hata Yanga Mkifanya Mchezo, kesho mnapasuka, no joke

Hata Yanga Mkifanya Mchezo, kesho mnapasuka, no joke

Machizi wa simba na Yanga hawawezi kukuelewa mkuu.

Utapiga kelele za bure tu.

Mimi nilikuwa na Senzo na Barbara simba
Wale wapumbavu hawataki mabadiliko wao ni Ishirikina na Mashehe wa kiislamu tu

NILIPUSH SANA MAMBO 3.
1. UWEKEZAJI.
2.UONGOZI.
3.WACHEZAJI.
 
Mbona sioni huo mpira wa viwango wa Petros de Luanda na TP Mazembe? Wana cheza tU kama mechi ya kirafiki. Yanga na Simba zikiwekeza vizuri kwenye wachezaji wa viwango na uongozi ni miongoni mwa timu bora kabisa hapa Afrika. Hawa mnaowasifia ni timu za kawaida sana kwa sasa.
Petro mpaka mechi ya leo hawajafungwa hata goli moja mechi 7 nadhani mnaangalia mechi moja moja mnakuja mbio hapa...hao jamaa walikamiana sana ila ni wazuri..
 
Kama uliangalia mipira ya Tz ya miaka ya 80-90 sikushangai kutoa comment kenge namna hii. Kwamba Al ahly walizidiwa na Simba hiii[emoji23][emoji23][emoji23]
Hujui mpira mkuu endelea na mishe zingine sio kila kitu uwepo
 
Machizi wa simba na Yanga hawawezi kukuelewa mkuu.

Utapiga kelele za bure tu.

Mimi nilikuwa na Senzo na Barbara simba
Wale wapumbavu hawataki mabadiliko wao ni Ishirikina na Mashehe wa kiislamu tu

NILIPUSH SANA MAMBO 3.
1. UWEKEZAJI.
2.UONGOZI.
3.WACHEZAJI.
Mbona hujaweka na

10% za wachezaji magarasa..?!
 
Mamelodi kwenye makaratasi ni kwamba wao wanashinda kwa kuwa wana wachezaji kama ulivyo wataja hapo ila mpira una mambo mengi sana hasa kwa hizi Timu ambazo nazo kwa kiwango fulani wamenunua Nje ingawaje sio kwa wachezaji wa kiwango cha juu ila hao hao wanaweza wakacheza mpira na kushinda hiyo ni kwenye Pitch ila on Paper Mamelodi wapo sawa sana kuliko sisi Yanga ila naamini kwa ubora walionao Yanga kwa sasa wanaweza kukabiliana na Mamelodi ambayo ipo juu zaidi yetu..
Vijana leo wamepambana kwa jasho na damu nikiangalia maoni ya mashabiki wa mamelodi wanailaumu timu yao lakini kiukweli yanga ilipambana Leo ndio maana mamelodi hawakucheza Mpira waliozoea.
 
Vijana leo wamepambana kwa jasho na damu nikiangalia maoni ya mashabiki wa mamelodi wanailaumu timu yao lakini kiukweli yanga ilipambana Leo ndio maana mamelodi hawakucheza Mpira waliozoea.
Wanailaumu kivip wakati Mzinze angetulia ilikua kamba ile na ile faulo ya Key nje ya penalty box wao hawakuona washukuru wamepata sare maana kocha wao kabadili mifumo yote kwa beki zetu lakini wapi Mokoena yule Captain hajaamini alivyokamatwa pale kiungo na Nungunungu...
 
Back
Top Bottom